ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 20,739
- 48,566
Wasipokunywa pombe wafanye nini waache watu washatumikia sana serikali washafanya kazi Acha wapumzike waking wakinywa kangara gongo na wanzuki
Unapokuwa kazini unapata vinywaji vyote mesi tena kwa bei nafuu na starehe kiduchu. Unapostaafu unagundua kuwa kwenye vilabu vya pombe kumbe kuna starehe babukubwa pamoja na ngumi bwerere, hapo hawatoki hata ufanyeje.Habari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu. Inakuwa na akili zao zimechoka na kazi ngumu?
Wengi utaskia wakijisifia baada ya kulewa nilvyokuwa jeshini, sikuwa na masihara.Hili likoje na Nini kinawakuta kwa wastaafu. Karibu kwa mjadala.
kuna sheria ya asili inasema kila unachomtendea mtu lazima kije kikurudie kiwe kizuri ama kibayakama waliishi kwa kuunga unga na kuonea wenzao huko uswahilini unategemea kuna Mungu gani wa kuwapa mwisho mwema? wanavuna walichopanda nyambaf zao.
wana miradi midogo midogo mingiSiku hizi wanawekeza Mali sio Kama zamani.
Laana ya waliowapa kesi ili watoe rushwa,damu za mauaji,yani ni laana full wao na mahakimuHabari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu. Inakuwa na akili zao zimechoka na kazi ngumu?
Wengi utaskia wakijisifia baada ya kulewa nilvyokuwa jeshini, sikuwa na masihara.Hili likoje na Nini kinawakuta kwa wastaafu. Karibu kwa mjadala.
PoliceccmMajeshi yako mengi mkuu,,
Ulitakiwa ukariri namba yake au ya chombo cha usafiri wao...mimi 2016 walichukua 6m cash walinikuta nashusha mzigo wangu wa halali na risiti zote nazo kwenye semi...wakanifuata kwenye gari yng wakasachi na kukuta 6m wakapita nayo,ndani ya mwezi walirudisha pesa kwa kuniomba sana niwasameheWengi wanalaaana sana...nmewahi kuibiwa milion 1.8 na polis wa usku
mkuu unaonekana ulishusha mkwara mzitoUlitakiwa ukariri namba yake au ya chombo cha usafiri wao...mimi 2016 walichukua 6m cash walinikuta nashusha mzigo wangu wa halali na risiti zote nazo kwenye semi...wakanifuata kwenye gari yng wakasachi na kukuta 6m wakapita nayo,ndani ya mwezi walirudisha pesa kwa kuniomba sana niwasamehe
laana za manyanyaso kwa raia, hasa polisi. bora hata wanajeshi huwa wanajielewa.Habari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu. Inakuwa na akili zao zimechoka na kazi ngumu?
Wengi utaskia wakijisifia baada ya kulewa nilvyokuwa jeshini, sikuwa na masihara.Hili likoje na Nini kinawakuta kwa wastaafu. Karibu kwa mjadala.
Hapana wale wangejua kwangu wangenitoa roho,kuna mshkaji wangu alinipeleka kwa boss wao mkoani staff no 2...mimi nlichofanya ni kupeleleza mpka kujua majina yao na wako kituo gani,mana walikua wamevaa kiraia walikuja n gari 2 tdi walipaki mbali....nikafunguliwa file na majina yao watatu nliyapata na wakajulikana.mkuu unaonekana ulishusha mkwara mzito
Hahahaaaa ,😂😂😂😂😂Unapokuwa kazini unapata vinywaji vyote mesi tena kwa bei nafuu na starehe kiduchu. Unapostaafu unagundua kuwa kwenye vilabu vya pombe kumbe kuna starehe babukubwa pamoja na ngumi bwerere, hapo hawatoki hata ufanyeje.
Ulikomesha mkuuHapana wale wangejua kwangu wangenitoa roho,kuna mshkaji wangu alinipeleka kwa boss wao mkoani staff no 2...mimi nlichofanya ni kupeleleza mpka kujua majina yao na wako kituo gani,mana walikua wamevaa kiraia walikuja n gari 2 tdi walipaki mbali....nikafunguliwa file na majina yao watatu nliyapata na wakajulikana.
Mwisho wa siku mpelelezi akaniomba warudishe pesa zangu nikasema ni 8m ndio walichukua.
Waliniletea cash bank kwa upole sana na samahani kibao
😙🤣🤣🤣🤣Walizoea bia za kununuliwa kama hongo kipindi wakiwa kazini
MijambaziiiiUlitakiwa ukariri namba yake au ya chombo cha usafiri wao...mimi 2016 walichukua 6m cash walinikuta nashusha mzigo wangu wa halali na risiti zote nazo kwenye semi...wakanifuata kwenye gari yng wakasachi na kukuta 6m wakapita nayo,ndani ya mwezi walirudisha pesa kwa kuniomba sana niwasamehe