Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

Dini kikwazo, we need to go beyond religion
Tuurududishe uafrika wetu kwanza, tamaduni halisi za mwafrika, Kama zitajengeka zinaweza kutuunganisha ktk nyanja nyinginezo za kiuchumi na kisiasa, hapa tutaweza kujenga taifa. Kuunda nchi si jambo gumu hata nguvu inaweza kuunganisha, ila kuifanya nchi liwe taifa, hapa lazima tofauti miongoni mwa wananchi zifinyangwe.
 
But you can find a tactical approach, non political, but economic and cultural
Muammar Qadaffi alikuwa na wazo zuri, sema akaingiza dini, there is always a way round, hapo ndpo myahudi anapotuacha
Kenya wamesema watu wote wa kutoka nchi za Afrika wataingia ama bila visa,amakwa visa rahisi za kuombea ukifika.

I saw that somewhere.

Kuna kipindi nilisoma watu wa Afrika tunawekeana ngumu sana kupeana visa wakati wakija wazungu mara moja wanapata.

More African countries opened up to African travelers in 2017
 
Tuurududishe uafrika wetu kwanza, tamaduni halisi za mwafrika, Kama zitajengeka zinaweza kutuunganisha ktk nyanja nyinginezo za kiuchumi na kisiasa, hapa tutaweza kujenga taifa. Kuunda nchi si jambo gumu hata nguvu inaweza kuunganisha, ila kuifanya nchi liwe taifa, hapa lazima tofauti miongoni mwa wananchi zifinyangwe.
TUnahitaji hekalu la ibada asilia
 
Ili kuingua Africa ni sharti namba moja kuunga Uchumi wa Africa, jambo ambalo likikua lifanywe na Gadaffi wa Libya , kipaumbele chake kilikua ni kutengeneza pesa Moja ya africa yenye nguvu zaidi, Wazungu waliona Nongwa wakafanya yao. Basi tena, tunaexpect kizazi chake labda kikipata Fursa ya kutawala Libya huwenda wakaja na idea ya mzee wao.
AU ni Useless katika kuijenga Africa moja .
 
Sisi ni kama mafimbo. Peke yangu, ninapasuka rahisi. Pamoja, nguvu zetu zinaongezana, kwa hiyo hatupasuki.

Ili kuingua Africa ni sharti namba moja kuunga Uchumi wa Africa, jambo ambalo likikua lifanywe na Gadaffi wa Libya , kipaumbele chake kilikua ni kutengeneza pesa Moja ya africa yenye nguvu zaidi, Wazungu waliona Nongwa wakafanya yao. Basi tena, tunaexpect kizazi chake labda kikipata Fursa ya kutawala Libya huwenda wakaja na idea ya mzee wao.
AU ni Useless katika kuijenga Africa moja .
We. Follow up Qadaffi dream, correct his tactical mistakes
 
Hebu nielezee kidogo kuhusu hiyo ibada asilia ya kiafrika, mm nachojua ibada ya waafrika ilikua kuabudu milima, miti, matambiko na kafara mbalimbali, miiko ya kijinga kama kuua mapacha, arubino, Etc.
Hebu nielezee kuhusu hiyo dini asilia mama..
Hizo unazoona za kiistarabu ziliundwa pia,pili Imani yako wewe huijui, likifunguliwa hekalu utafundishwa, Imani yako Ni kongwe kuliko uislamu na ukiristo, sio kila ukisikia ibada asilia,unafikiria mambo ya kishirikina
 
Back
Top Bottom