Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,989
- Thread starter
- #41
Kwahyo wew matatzo kwenye ulimwngu huu umeona kujiua tu...duh..kazi ipoSiyo swala la yupi ana matatizo klk mwingine, matatizo binadamu wote wanayo, ila jinsi ya kuyakabili matatizo ndipo tofauti ilipo kati ya Mwanaume na Mwanamke, na takwimu ziko wazi na hii siyo kwa Tanzania tu bali ni Dunia nzima kwamba wanaongoza kujiua ni wanaume unafikiri ni kwa nini ? walevi na wanaotumia drugs wengi ni Wanaume unafikiri sababu ni ipi ?
Yaan hujawaza problem solving kama
1.Kuendesha nchi na maamuz
2.afya
3.innovations
4.power n energy
5.leadershp
6.finance
7.independence
Yote hayo tokea dunia hii imeumbwa anayasolve mwanaume kwa asilimia zaid ya 90