Hivi kwanini 90% ya waumini wa haya makanisa ya kiroho ni wanawake?

Thinking capacity ya mwanamke , reasoning , ni poor ndio maana wanadanganyika kirahisi sana na manabii uchwara , hawafikirii dogmatism is applied at the maximum .
 
Hawa mama zetu mungu awape hekima tu. Siku hizi wanajazana pale kwa kuhani Mussa. Wanakoswa sana kubutuliwa na magari. Wachungaji feki mimi sina hata mazoea nao
 
Kwa asili wanawake wanaamini kwa kusikia, wakiambiwa maneno ya kuwapa furaha na upendo wanafurahia zaidi. Na viongozi wa dini wamejua kulengea hapo

Wanawake wengi kwenye jamii ni wahanga wa unyanyaswaji na mateso mbalimali na wanaona sehemu pekee ya kupata faraja ni kanisani

Wanawake sio watu wa kuachilia mambo kirahisi Wanawake wanabeba hisia zinazowafanya wafanye Yale yanayotokea kwenye hizo nyumba za ibada

Wanawake kukosa miongozo sahihi ya kiimani toka kwa wanaume ambao ndio viongozi kiimani

Cc Ushimen
Sasa ndo mpishane kwa waganga kupata tiba? Hamjui hao waganga ni wanaume matapeli pia?
 
Sio kwamba mwanamke ni tegemez na si problem solver..yaan hawez solve kitu had kwa msada wa mwingne..tena mwanaume...maana huko makanisan viongoz ni wanaaume..waganga wa kienyej ni wanaume etc...nahis kuna utofaut wa asil kat ya jinsia hz mbili ni kwamba tu wanawake wa skuhiz ku admit ni ngum..

Kiufup mwanamke hafikirii mara mbili..yeye anachokiona mbele ni hiko hiko..ndomana wana maamuz meng sana wanawake. Wao ndo machangudoa.wao ndo wanaojichubua wao ndo wenye nywele fake wao ndo wenye kucha fake wao ndo wapaka makeup yaan lolote liliombele yao wanarukia bila kuwaza mara mbili.

Mwanaume lazima awaze mara mbili ndomana amekua soo natural katka maamuz yake maishan
Brilliant observation
 
Kwahyo wew matatzo kwenye ulimwngu huu umeona kujiua tu...duh..kazi ipo

Yaan hujawaza problem solving kama
1.Kuendesha nchi na maamuz
2.afya
3.innovations
4.power n energy
5.leadershp
6.finance
7.independence

Yote hayo tokea dunia hii imeumbwa anayasolve mwanaume kwa asilimia zaid ya 90

Utakuwa unaongelea wanaume wa wapi? Maana kwa huku kwetu tuko very poor kwa kila ulicho mention hapo juu.
 
Unauliza maswali mepesi sana.
Wanapigwa hawa wa dunia ya tatu huku elimu hawana na fedha hawana!
Kwanini wasipigwe?

Nenda kawapige wanawake wa Denmark huko kama utaweza.

Uhalisia haupo wanapigwa wanawake wanaotoka mataifa masikini tu.
Tunaona hata kwenye Movie za huko huko Ulaya, wanawake wapo stumped kama kiumbe dhaifu sana,
 
Mwanamke aliyegundua GPS una mfahamu? Na uanaume wako una kipi cha kumzidi?

Am a man, lakini ujinga wa wengi wa wanawake waishio Afrika usiwe ujinga wa wanawake wote!
Mkuu inaonyesha una kaubishi fulani hivi
 
Huwez elewa logic za kikubwa hiz mkuu..unless una akil sana...sampling zako za kufananisha wanawake wa dunia ya kwanza na dunia ya tatu hazina akil..hao wa dunia ya kwanza wana flaws zao...na inabak vile vile hata huko 90% ya waudhuriaj ni wanawake pia.
Hao wa dunia ya kwanza na wenyewe wanapigwa kwa style zao, by the way mwanamke ni kiumbe dhaifu na chenye huruma sana sana, so ni rahisi kurubuniwa na kutekwa
 
Kwa ujumla Wanawake ni viumbe dhaifu sana. Ndiyo maana hukuti katika Historia nabii wala mtume Mwanamke (Hapa kuna hekima kubwa sana, achana na hawa manabii wa uongo na sanaa zao).
Manabii wanawake kwenye biblia walikuwepo.
 
Kwa asili wanawake wanaamini kwa kusikia, wakiambiwa maneno ya kuwapa furaha na upendo wanafurahia zaidi. Na viongozi wa dini wamejua kulengea hapo

Wanawake wengi kwenye jamii ni wahanga wa unyanyaswaji na mateso mbalimali na wanaona sehemu pekee ya kupata faraja ni kanisani

Wanawake sio watu wa kuachilia mambo kirahisi Wanawake wanabeba hisia zinazowafanya wafanye Yale yanayotokea kwenye hizo nyumba za ibada

Wanawake kukosa miongozo sahihi ya kiimani toka kwa wanaume ambao ndio viongozi kiimani

Cc Ushimen
Umenifunza kitu leo. Kumbe mwanamke bila kuchungwa hajalamilika

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba mwanamke ni tegemez na si problem solver..yaan hawez solve kitu had kwa msada wa mwingne..tena mwanaume...maana huko makanisan viongoz ni wanaaume..waganga wa kienyej ni wanaume etc...nahis kuna utofaut wa asil kat ya jinsia hz mbili ni kwamba tu wanawake wa skuhiz ku admit ni ngum..

Kiufup mwanamke hafikirii mara mbili..yeye anachokiona mbele ni hiko hiko..ndomana wana maamuz meng sana wanawake. Wao ndo machangudoa.wao ndo wanaojichubua wao ndo wenye nywele fake wao ndo wenye kucha fake wao ndo wapaka makeup yaan lolote liliombele yao wanarukia bila kuwaza mara mbili.

Mwanaume lazima awaze mara mbili ndomana amekua soo natural katka maamuz yake maishan
Umesahau na misambwanda fekis

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Kimsingi Wanawake wana hitaji msaada sana. Kuna Binti Mlokole 25age Nilimuomba ngono akachomoa, akapata shida nikamsapoti km JIRANI tu huku nikiwa nishapata mbadala wake, msaada ukafika HD kwa mama yake, nikatajwa kama MTU Poa sana. Now nahisi wote wanakuja kasi nami sitaki nirudi kule tena kwa kuwa Nina pa kujipooza na pia pale ulokoleni nahisi mizinga itapita ukomo. Ulokole unaendelea pia. Dah! Tuachage haya mambo!
 
Nawajua wanawake nane ndani ya Biblia ambao ni manabii.
Kwa uchache zurri kuna Huldah na Anna vipi una chakupinga?

No research no right to speak!
Hili huna hoja ya kielimu. Ukisema wapo manabii wa kike, kuna maswali nitakuuliza na unipe ushahidi.

1. Unabii huo wamepewa na nani ? (Ushahidi fuwekee)

2. Kipi kimekujulisha ya kuwa hao ni manabii ?

3. Usahihi wa hayo marejeo yanayo elezea manabii wakike ni upi ?
 
Unauliza maswali mepesi sana.
Wanapigwa hawa wa dunia ya tatu huku elimu hawana na fedha hawana!
Kwanini wasipigwe?

Nenda kawapige wanawake wa Denmark huko kama utaweza.

Uhalisia haupo wanapigwa wanawake wanaotoka mataifa masikini tu.
Nimecheka sana.

Sawa.
 
Hili huna hoja ya kielimu. Ukisema wapo manabii wa kike, kuna maswali nitakuuliza na unipe ushahidi.

1. Unabii huo wamepewa na nani ? (Ushahidi fuwekee)

2. Kipi kimekujulisha ya kuwa hao ni manabii ?

3. Usahihi wa hayo marejeo yanayo elezea manabii wakike ni upi ?
Zurri umeingia choo cha kike!

2 Wafalme 22:14-15

Kwa hiyo Kuhani Hilkia, Ahikamu Akbori, Shafani na Asaya, wote walikwenda kwa mama mmoja nabii jina lake Huldah aliyekuwa mke wa Shalumu mwana wa Tikva, mwana wa Harhasi, mtunza mavazi ya Hekalu. Wakati huo Huldah alikuwa anaishi katika mtaa wa pili wa Yerusalemu nao wakazungumza naye. 15 Basi akawaambia "Hivi ndivyo anavyosema mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli " Mwambie huyo aliyewatuma kwangu"

Huu ni ushahidi wa unabii wa Huldah.
 
Ninachokitaka ujue namaanisha. Sababu huwa hamuhakiki hizi habari, ngoja nikuonyeshe wapi una kwama.

Kwanza kabisa andiko halionyeshi unabii wa huyo mtu zaidi ya kuitwa tu jina kama waitwavyo hawa wa leo. Maswali yangu ya kiuchunguzi, ndiyo maana nilikuuliza kuhusu nani amempa huo unabii, na hapa ushahidi unatakikana, kadhalika nilikuuliza kipi kinakujulisha kuhusu unabii wake, tatu nilikuuliza ukweli juu habari hizo za unabii, hapa naomba uniambie muandishi wa kitab cha Wafalme ni nani ?

Naendelea kusisitiza ya kuwa hakuna wala hapakuwahi kuwepo nabii wa kike.
 
Back
Top Bottom