Hivi kwani Duka lote bei gani...?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Nataka yale mashati ya gucci sijui ni chui chui kama ya rweyemamu, na ile mikanda ya chumma chumma......kama ya

hahaha jamani mwenzenu tangazo hili la voda huwa naburudika sana

Copy Bishanga Bashaija ..JF
KOKUTONA
Katerelo
MUZEe ya kukagua babu Asprin
Mtambuzi
Rutashubanyuma Boflo Mr Rocky
@
@
And all wana Chitchat......................
 
Last edited by a moderator:

Achana na NSHOMIRE akiwa kapata nguvu ya kiuchumi!mkwara wake lazima upate discipline:) Hapo amepata 5 ml anataka kununua duka; imagine angekuwa na zaidi ingekuwaje!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom