Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Hapo chini...wapiga nyeto tunakomment wapi?
Kwenye biblia kuna makatazo na maonyo mengi sana. Lakini hili ni katazo gumu sana kwa watu wengi. Katazo hilo kwenye kitabu cha Mathayo 5
"27 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;Kwa sheria hii watu wengi sana tunazini mara nyingi sana. Kwa upande wangu kwa siku nazini 20 na zaidi kwa kutamani tu! Najua kuna watu humu wanazidi hata mara mia
28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Ingekuwa rahisi hivi dunia isingekuwa inazungukaWenye ' Kujiheshimu ' huwa ' hawazini ' kamwe isipokuwa ni kwa wale ' Wahuni ' na Watu ' very irresponsible ' katika Jamii yetu.
Unazini mpaka kwa kuangalia avatar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hivyo basi inabidi mods wacontrol baadhi ya avatars humu ndani ili kutupunguzia dhambi
Upande wa pili umeonya kuwa ''Usikaribie zinaa" yaani usikaribie chochote kinachoweza kukupelekea kufanya zinaa.Unazini mpaka kwa kuangalia avatar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upande wa pili umeonya kuwa ''Usikaribie zinaa" yaani usikaribie chochote kinachoweza kukupelekea kufanya zinaa.Unazini mpaka kwa kuangalia avatar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ndie kisabishiMimi huwa sizini
Tuna do kihalali au sio [emoji41][emoji41]Mimi huwa sizini
Kabisa bebiTuna do kihalali au sio [emoji41][emoji41]
Nasababisha niniWe ndie kisabishi
Mmh kumbe wewe ni Me?Mimi huwa sizini maana sijawahi kumtazama mwanamke kwa kumtamani
Wapi nimesema mimi ni meMmh kumbe wewe ni Me?
Don't generalize, kuna watu wakiona mtu anatembea nusu uchi wanamuona taahira tukama kutamani ni kuzini basi mimi nitakuwa nimezini sana,hapa dar dada zetu nguo wanazovaa na hayo mashepu yao ya mchina,watakaopona na hii zinaa ya macho ni VIPOFU na WATOTO