Hivi kwa sasa kuna mtayarishaji wa midundo mkali kama S2kizzy Tanzania?

Mwamba yuko vizuri. Namuelewa pia Kimambo. Na kuna mtu hatajwi sana ila nae yuko vyema sana, wakuitwa Blaq. Sikiliza "manyakunyaku" au "raha" za Marioo, utamuelewa sana.
 
Mwamba yuko vizuri. Namuelewa pia Kimambo. Na kuna mtu hatajwi sana ila nae yuko vyema sana, wakuitwa Blaq. Sikiliza "manyakunyaku" au "raha" za Marioo, utamuelewa sana.
Blaq ni mkali sana hata ile nyegezi beat ileni balaa
 
Mimi ninaomba list ya producers 4 wakali zaidi kwa beats za trap hapa Bongo.
 
Mimi namkubali mnoo yule jamaa wa wanene luffa alipiga ile piano kwenye kababaye hatarii sana huwa natikisa kichwa kwa burudani murua..
 
Laizer anajua kutengeneza beat za baibuda yule wasafi wasingeanza kwenda kweingine kupata ladha tofauti aisee angewapoteza. Siku hizi unakuta beat katengeneza mwingine vocal kafanya laizer, mfano nyegezi ile beat Black Q vocal kafanya laizer, far away ni s2kizzy vocal laizer same as tetema
Kwa beats za Baibuda sidhani kama kuna Prodyuza wa Kuwafunika Abby Dad na Aloneym
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom