Hivi kwa sasa kuna mtayarishaji wa midundo mkali kama S2kizzy Tanzania?

Umekuwa tu brainwashed ni hivi...ukiona producer wa bongo anatamba sana ujue anarecord Bure kwa wasanii wakubwa...basi ndo wanajazana hapo na ndo kila wimbo utakao usikia redio utatoka kwa producer Huyo na wewe ndo utaamini ndo mkali kwa kuwa wasanii wakubwa wanarecord kwake.
Producer akianza kuwatoza hela tu wanakimbia wote...wanaibukia kwingine kwenye Bure..
Maproducer no wachache sana bongo hapa na wengi hawafanyi Kazi sa hzi wanaangalia tu...ila kumbuka hao wasanii wakubwa wakiwa na Ideas Kali na pesa mkononi wanaenda zao kwa Pfunk...Mj records...kwa Hermy B and the likes.
Kusema S2kizzy ni mkali kwa sasa so kweli subiri aanze kucharge utamini nnachokwambia...Weusi walikua walikua hawaishi kwa Nahreel sahiz kwa S2kizzy ndo nyumbani jiulize...unafikiri uwezo was Nahreel umekwisha...Bob Maneck Man Walter and the likes? Ni ni kwamba wanataka cash na wasanii wengi wakubwa ni vitonga.
Usiwape sana vyeo maproducer wepesi wepesi do your research usiendeshwe na nani anasikika by nw.
 
Hii ni kweli hasa hiyo issue ya nahreal
 
Kweli mkuu...unadhani S2kizzy anamaajabu Gani kumzidi Nahreal,tena Hermy B ndo hawamtaki kabisa wanasema bei yake kubwa..
True ndgu yangu.
Nashangaa sana watu wanavyompaisha Hugo dogo .kiukweli nahreal ni moto mwingine yule jamaa .
Ninachoona ni hicho hicho kwa sasa wasanii wanatelezea kitonga.kwa kina kizzy .
Yeye anapata umaarufu tu.na vijipesa.
Akija kufunguka akili anakuta wamekimbilia kwingine.

Hivi kwanini wasanii wanafanya hivi?
 
Yah! Ukiona msanii mkubwa anataka kafanye Ngoma yake ya kihistoria lazima ataenda kurecord kwa real Producer Na siyo Hawa beat makers mfano Fid Q Ngoma yake ambayo anaifeel sana Na ameiandika deeply...Na hata anavyoperfom live utaelewa ninachomaanisha...Ngoma inaitwa Roho...hii Ngoma alifanya kwa Pfunk imagine.
 
True ndgu yangu.
Nashangaa sana watu wanavyompaisha Hugo dogo .kiukweli nahreal ni moto mwingine yule jamaa .
Ninachoona ni hicho hicho kwa sasa wasanii wanatelezea kitonga.kwa kina kizzy .
Yeye anapata umaarufu tu.na vijipesa.
Akija kufunguka akili anakuta wamekimbilia kwingine.

Hivi kwanini wasanii wanafanya hivi?
Nahreel Ni mkali sana ukisikiliza instrumental "nana" ya Diamond ndio utaelewa vitu alivyoweka mule.
 
Mimi namkubali mnoo yule jamaa wa wanene luffa alipiga ile piano kwenye kababaye hatarii sana huwa natikisa kichwa kwa burudani murua..
Bwana na zile strings hatari... na ile sound flani hivi kama aliens wapo... achaaaaaa

Nimeukubali uziiii!!!!!!!
 
Sijui lakini mana kila mtu na mtazamo wake.. kwangu huyo dogo bado hana Hit Beat hata moja... mpaka sasa kwa upande wangu Hit Beat ya mqisho kufanywa ni ile ya Darasa - Maisha na Muziki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom