WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Msome vizuri tena mleta habari Nyamayao....naona huyu baba na hiyo nyumba ndogo wana mgogoro baada ya kufumaniana upo hapo??
Ndugu yangu,
mbona kama vile unahalalisha huo uhusiano haramu? hata wasingegombana bado si halali.Now that wana mgogoro isiwe ndo sababu!
Halafu kuna hii dimension nyingine hatuizungumziii --- gonjwa lisilotibika la UKIMWI.Hivi huyu baba akili zake zimo au wamehama? UWE NA HAWARA YAKO TENA SI MUAMINIFU ( ushahidi - umemfumania na mwanaume mwingine!) halafu unaenda pekupeku hakuna kinga wala nini hadi mnatotoa??? Hapo ndo nashindwa kabisaa!!