Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,837
Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka ufanye nao ngono, na ukiwakemea wanakuambia baada ya dhambi hiyo mtatubu.
Wengine wanaenda mbali zaidi, ukiwakataa wanaanza kukusingizia maneno ya uwongo kuwa unawataka.
Ndugu zanguni, kazi ya Mungu ni ngumu sana na shetani anajiinua sana.
Tuwaombee sana watumishi wa Mungu, wanapita mapito magumu sana kiimani