jambo1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 241
- 29
Za mwaka mpya wadau..! Naombeni ushauri wenu wakuu wa Kambi..Kuna dada mmoja nimempenda na nikamchunguza na kuona anafaa kuwa wife.Sasa nikaona ni vizuri nikaweka mpango wa kujiweka karibu naye.Nikapata namba yake toka kwa jamaa mmoja aliye karibu naye. Nikampigia lakini hakupokea and akaanza kuchat kwa sms nikamjuliha and akanikumbuka kwan nishawahi kuongea nae kidogo. Baada ya hapo siku nyingine SMS hajibu kabisa siku akiwa poa anajibu vizuri mpaka najiskia raha..ila kibaya zaid namba yangua ameiblacklist so siwezi kumpigia, nikimpigia namba yake iko busy..,but SMS sometimes anajibu sometimes hajibu..! Nikikutana naye anatabasamu then anaangalia chini.. Wadau naoimbeni ushauri nifanyeje..!