Hivi kwa mwanaume ikikutokea hii,

Hivi kwa mwanaume ikikutokea hii,

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,742
Najua ni kawaida wanaume kutembea na vijisilaha kwa baadhi ya makabira mfano me mkurya najihisi safe nikiwa na kitu cha kujilinda hasa nyakati za usiku,na unaweza kuopoa mchepuko na kulala nao na ukaiona silaha unaiweka chini ya mto au uvunguni asishangae,imagine sasa umeopoa mchepuko wakati wa kulala mchepuko unatoa silaha either kisu au bastora anaweka chini ya mto utajisikiaje,usingizi utakuja kweli au utachukua hatua gani?
 
Nikianza gemu kabla sijamaliza naomba poo' nikakojoe!! Nikitoka ndo nimetoka..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom