Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao

1756371253219.png

View attachment 3456194

Mbona wanasuka twende kilioni na watoto wako mstari wa mbele na t-shirt zao za utopolo. Illiteracy & Unemployment screams out loud kwenye hizo picha.
 
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao

Kwa kawaida Watu Wajinga huwa hawaishi. Tawala za kidhalimu zisizokuwa za kidemokrasia mara nyingi sana mtaji wake mkuu zaidi ni Ujinga na kuwepo kwa idadi kubwa zaidi ya Watu wajinga.

Wale Watu Wachache ambao ni Werevu na wenye upeo mkubwa zaidi wa akili huwa wanahesabika kama ni Maadui wakubwa zaidi wa Watawala, na Watu hao Werevu huwa wanaandamwa Sana kwa kufanyiwa udhalimu wa aina mbalimbali.
RIP Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila.
RIP Dkt. Sengondo Mvungi.
RIP Prof. Juan Mwaikusa.
RIP Prof. Chachage.
 
Hawa wanaorukaruka ni vijana wa JKT. Kasome page ya mange kule Instagram
 
Mbona wanasuka twende kilioni na watoto wako mstari wa mbele na t-shirt zao za utopolo. Illiteracy & Unemployment screams out loud kwenye hizo picha.
Washapewa 10000 hapo

Ova
 
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao

Kumbe ulikuwa hujui kwamba kama ilivyo kwenye Simba na Yanga watu kusema hii ni timu yetu na kwenye Chama ni vivyo hivyo 😳 !
Watu wanaamini hiki ni Chama chetu 🤣🤣🤣 !
Hata ukiwaambiaje kuhusu Chama kingine hawakuelewi. 🤣🤣🤣

Hata hivyo sio watu wote wako hivyo !
Wengine hufuata masilahi fulani fulani japo ni madogo madogo ya siku hiyo hiyo tu 😂😂😀 !
Hivyo ndivyo tulivyo 😳 !
 
😂😂😂Kwamba unaweza kuopoa ofisi ila haina akili sio
😄 😄 sasa mdada mwenye akili ataenda akachezecheze kwenye hiyo mikampeni?
Ajazwe kwenye coaster kupelekwa huko?
 
Back
Top Bottom