honorto
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 188
- 102
kutokana na faida za mti wa mlonge nilizo zisoma humu ndani, hivyo nimehamasika na dawa asili zitokanazo na mti wa mlonge. Nana imani kupitia tiba hii nitapona maladhi yangu yanayo nikabiri. Ivyo kama kuna anae jua lilipo duka linalo uza dawa za asili kwa apa mbeya mjini naomba naomba msaada wa kufahamoshwa lilipo.