Mtu anapigwa ban halafu anafungua ID nyingine, Au kuna watu wana ID kibao.
Mi naona hakuna mana ya kupigana ban..., Tuache watu watoe mapovu yao tu. Hiyo ndio Democrasia. Otherwise zitakuwa ni nidhamu za woga tu. Kuna haja ya kuogopa watu ambao hawaogopeki!!.
Watu wajiachie......, kama mtu kateleza na moderator ameona sio sahihi hiyo post kuwepo, aifute tu, sio kupigana ban.

Nafikiria ban ni fundisho ila bahati mbaya kuna watu akili zao zishashindikana.
mkuu ban mbaya ni IP ban ila ukipigwa ban ya kawaida unaweza fanya hivyo ila kwa ip ni huwezi access kwenye hiyo PC tena kuhusiana na registration za jf..
ili kuepuka hiyo aza ni bora uache tu matusi utaishi kwa amani kama x pester au katavi...
Taja watatu
nani asiyekujua?Mwita 25,mchaga 25Mi mwenyewe nimepigwa ban lakini watu hawajui