Hivi kura 9 za kuchagua Spika kuharibika ina maanisha kuna wabunge mbumbumbu au wakorofi au vilaza au msamiati mzuri ni upi jamani? Ivi awa wabunge walioharibu kura tukiwapa kutunga sheria watakuwa makini au ndo watasign rais anyongwe?au ndo wataharibu mikataba ya nchi,kwani wanaelewa lugha au ni vp? Je tarehe 31 kura zao zilikuwaje?shule hamna?au ndo pia wariharibu kura zao? Ndugu nisaidie naisi kukasirika kwa hawa watunga sheria ambao si makini.

Kama mtu anavaa kikuku bungeni unadhani upstairs kukoje?
Ama kweli baazi ya vijuwe vya gahawa vina watu makini kuliko vilaza wengi wanaojumuika kwenye bunge letu tukufu. Hivi utukufu unatoka wapi kwa elimu ya darasa la saba? Raia wa kawaida tuliweza kuwachinjia baharini wagombea karibu wote waliolazimishwa na nec ya ccm kugombea majimboni, wabunge wameshindwa je kumkataa spika ambae hakuwa chaguo la walio wengi? Kwa kutumia king'amua cha kuchagua kwa kura nimegundua wabunge wengi wako nyuma ya raia wengi wa kawaida kiufahamu!