Elections 2010 Hivi kura 9 za wabunge kuharibika ina maana gani?

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
Hivi kura 9 za kuchagua Spika kuharibika ina maanisha kuna wabunge mbumbumbu au wakorofi au vilaza au msamiati mzuri ni upi jamani? Ivi awa wabunge walioharibu kura tukiwapa kutunga sheria watakuwa makini au ndo watasign rais anyongwe?au ndo wataharibu mikataba ya nchi,kwani wanaelewa lugha au ni vp? Je tarehe 31 kura zao zilikuwaje?shule hamna?au ndo pia wariharibu kura zao? Ndugu nisaidie naisi kukasirika kwa hawa watunga sheria ambao si makini.
 
Kaka ulikuwa hujui kwamba kuna wabunge vilaza....:A S angry: :A S angry::yield::yield:
 
Hivi kura 9 za kuchagua Spika kuharibika ina maanisha kuna wabunge mbumbumbu au wakorofi au vilaza au msamiati mzuri ni upi jamani? Ivi awa wabunge walioharibu kura tukiwapa kutunga sheria watakuwa makini au ndo watasign rais anyongwe?au ndo wataharibu mikataba ya nchi,kwani wanaelewa lugha au ni vp? Je tarehe 31 kura zao zilikuwaje?shule hamna?au ndo pia wariharibu kura zao? Ndugu nisaidie naisi kukasirika kwa hawa watunga sheria ambao si makini.

Kaaaz kwelikweli!!
 
Alafu idadi iyo inoana na wale ambao ni STD 7 wa CCM ila kuna wawili wanaongezeka apo toka upinzani kama sikosei
 
Hivi kura 9 za kuchagua Spika kuharibika ina maanisha kuna wabunge mbumbumbu au wakorofi au vilaza au msamiati mzuri ni upi jamani? Ivi awa wabunge walioharibu kura tukiwapa kutunga sheria watakuwa makini au ndo watasign rais anyongwe?au ndo wataharibu mikataba ya nchi,kwani wanaelewa lugha au ni vp? Je tarehe 31 kura zao zilikuwaje?shule hamna?au ndo pia wariharibu kura zao? Ndugu nisaidie naisi kukasirika kwa hawa watunga sheria ambao si makini.

Rejea "orodha ya wabunge vihio wa CCM"
 
Ebu nikumbushe ile idadai ya Vihio, na hao wa upinzani ni wapi au kutoka chama Gani?
 
Wakuu naona wakati umefika wabunge wetu vijana wasomi waweke miswada mezani ili ubunge uwe na added qualifications,std7 na maajuza wakae pembeni kwa mtindo huu bungeni tumewakilisha na majuha tena majua vilaza. Pia vikuku vinaongezeka bungeni kuwaliwaza wazee,hii ni noma wakuu,au mpaka dr.Slaa aonye ndo serikali itagundua,ama kweli dr.Slaa ndo kinara,waangukaji wanajikongoja!
 
Ama kweli baazi ya vijuwe vya gahawa vina watu makini kuliko vilaza wengi wanaojumuika kwenye bunge letu tukufu. Hivi utukufu unatoka wapi kwa elimu ya darasa la saba? Raia wa kawaida tuliweza kuwachinjia baharini wagombea karibu wote waliolazimishwa na nec ya ccm kugombea majimboni, wabunge wameshindwa je kumkataa spika ambae hakuwa chaguo la walio wengi? Kwa kutumia king'amua cha kuchagua kwa kura nimegundua wabunge wengi wako nyuma ya raia wengi wa kawaida kiufahamu!
 
Jibu rahisi ni kwamba waliona anne na marando hawafai. Hiyo ndiyo njia pekee ya kujieleza. Enzi za form II kama huwapendi wote basi ni kuandika matusi kwenye karatasi. Ila bahati mbaya kama mwalimu anajua mwandiko wako utajuta kuzaliwa
 
Ama kweli baazi ya vijuwe vya gahawa vina watu makini kuliko vilaza wengi wanaojumuika kwenye bunge letu tukufu. Hivi utukufu unatoka wapi kwa elimu ya darasa la saba? Raia wa kawaida tuliweza kuwachinjia baharini wagombea karibu wote waliolazimishwa na nec ya ccm kugombea majimboni, wabunge wameshindwa je kumkataa spika ambae hakuwa chaguo la walio wengi? Kwa kutumia king'amua cha kuchagua kwa kura nimegundua wabunge wengi wako nyuma ya raia wengi wa kawaida kiufahamu!

nani kalipa hilo bunge utukufu?
 
kweli mkuu!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom