BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,818
- 11,001
Form 6 mnaoenda kuchagua course kuweni makini. Sikupangii cha kusomea Ila angalia mda wako na tija.Toka 2015 walimu hawa hawajawahi pata ajira. Kuna reserve mtaani malori na malori. Najua wengone mnasomea mana wanapata na loans pia. Maisha ni muda ndugu zangu.