Hivi kuna watoto wa kishua ambao wapo JF?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
baada ya kufatilia nyuzi nyingi na mada nyingi zinazoanzishwa jf na wana jf........

hadi najiulizaga hivi humu jf kuna watoto wa kishua ambao tupo nao humu ndanii wanaotumia hili jukwaaa ninaposema watoto wa kishuaa nina maana mambo safi
 
Wapo,niwataje?
 
Kama wapo basi wale ambao ni obese na wako secluded na society hivyo chimbo lao ni jf kujiliwaza.
 
baada ya kufatilia nyuzi nyingi na mada nyingi zinazoanzishwa jf na wana jf........

hadi najiulizaga hivi humu jf kuna watoto wa kishua ambao tupo nao humu ndanii wanaotumia hili jukwaaa ninaposema watoto wa kishuaa nina maana mambo safi

Wapo kimya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…