Hivi kuna ulazima wowote ukimaliza kufanya mapenzi na Mwanamke umpe Hela / Pesa?

Ukishaingia huko, kubali yote.
Tekeleza yale uyawezayo.
Ongea naye au mpe ili kesho arudi kwa moyo safi.
 
Mimi sijawahi kuombwa direct ila tuu unakuta mshamaliza halafu anaaga lakini bado anaendelea kumyanda myanda arround! Akiona no response anaaga tena! Then unakuta kashika kimkoba chake huku anakuangalia ile nilipe nisepe look
 
Mkuu hapo ujue umekutana na kahaba na hapo yupo kwenye biashara. Cha msingi mlipe aende akatafute vichwa vingine.
Mwanamke anayejielewa kwakweli hawezi kukwambia hivyo hata kidogo. Ni lazima awe anayejiuza tu. Hivi mnajua kuna baadhi ya wanawake wanajiuza ila ni indirectly ili wasishtukiwe.
Hahahahahaha nakwambia tena kuwa mwanamke mwenye hadhi yake mkikutana mkapeana mapenzi halafu ukataka kumpa hela mtagombanaaaa maana ataona umechukulia kama kwenye danguro. Ila sio mbaya kama akiomba nauli na kweli hana nauli au kwa jinsi mlivyozoeleana.
 
Hiyo ni roho mbaaaaya na ubahili unakusumbua.

Ukiwa na mwanamke lazima umuhudumie,

1. Chakula.

2. Umlipie kodi ya ghetto.

3. Umpe pesa ya kununua nguo.

4. Pesa ya vipodozi.

5. Kila mwisho wa wiki mpe hela aende saluni akabadili mitindo tofauti.

6. Kifanya tabia mbaya umpe angalau hela ya shukrani kama " asante kwa penzi lako tamu mpenzi wangu " Tshs: 50,000/= na zaidi.

7. Umkatie bima ya afya kwa mwaka.

8. Mtafutie kazi kama hana....

NB : haijalishi demu ni Malaya au katulia.
heeee
 
Back
Top Bottom