Una uhakika ujenzi wa Hilo daraja hautakuwa na Impact yoyote ya UCHUMI !!??? Au Impact ya UCHUMI Kwako mpaka uuze bia na kitimoto!?Wanasema ujenzi utagharimu Tsh110 bilion na Wakorea watatukopesha 80% ya pesa hizo. Je kuna ulazima wa kutumia pesa hizo kwaajili ya kitu kisicho na impact yoyote kiuchumi?
View attachment 317246
kwa gari za mwenge sioni kama kuna unafuu utaletwa. madereva hawawezi kuongeza urefu wa safari kwa hadi 3km kukwepa foleni. kwanini wasitanue hiyo barabara ya mwinyi iwe hata njia 8? hili daraja ni MV DSM nyingine.ujue inabidi uone mbari sana ktk hili,lile daraja litakua na mchango mkubwa sana tu litapunguza msongamano kwa gari zitokazo mwenge kuelekea poster.gari zitokazo osterbay,masaki,msaani zitatumia daraja hilo.
Watanzania watu wa kulalamika sana...halafu wanajifanya wajuaji wa kila kitu...achana naoacheni woga wa maendeleo wa tz kila kitu kwetu hakina umuhimu khaaah
hujielewi wewe huo mradi sio miundo mbinu? na je kama itarahisisha maswala mazima ya kiuchumi means hamna maendeleo? hata kitu luxury hujui nini wewehayo siyo maendeleo ni luxury. maendeleo yanatakiwa kuboresha maisha na si kuvutia machoni.
alafu ndo watu wa kwanza kutuma picha za barabara za nje za wenzao,,,wao wakijaribu kuletewa wanapiga kelele kweli tumerogwa nabalieturoga kafaa,,,yani ingekuwa nairobi au kigali wanafanya ivyo basi ungeona huku wa tz wanavyosifia yani tz sisi wajinga wengi na wanaboa sanaWatanzania watu wa kulalamika sana...halafu wanajifanya wajuaji wa kila kitu...achana nao
huo mradi utafaidisha vigogo na mabalozi wa masaki na o'bay. sehemu ndogo mno ya wa TZ.hujielewi wewe huo mradi sio miundo mbinu? na je kama itarahisisha maswala mazima ya kiuchumi means hamna maendeleo? hata kitu luxury hujui nini wewe
Huwezi panua barabara ya Ally Hassan mwinyi kwa kiwango hicho tokana na plan ya jiji la dar vile lilivyo kwa sasa utahitaji kubomoa majengo mengi sana. kwa lugha rahisi ni kwamba huwezi toa maji mengi kutoka kwenye bomba kubwa na kuyaingiza kwenye bomba dogo.kwa gari za mwenge sioni kama kuna unafuu utaletwa. madereva hawawezi kuongeza urefu wa safari kwa hadi 3km kukwepa foleni. kwanini wasitanue hiyo barabara ya mwinyi iwe hata njia 8? hili daraja ni MV DSM nyingine.
likikamilika watashangaa litakavyokuwa pweke.Kiukweli halina umuhimu wowote maana kule coco beach oysterbay hakuna jam kwanza,jam mara nyingi inaanza pale kona ya dstv,kona ya supermarket ya kishimba na pale kona karibu ilipokuwa BOL na kona ya kwenye maungano ya mataa,Ushauri wangu hizo fedha wangezitumia kutanunua hizo njia kuanzia hapo salenda hadi mwenge na pia zitumike kutanua njia ya mwai kibaki kutoka moroco hadi kawe round about au hadi afrikana njia ya chini ile.
Pia hizo fedha zitumike kujenga na kutanua feeder road zinazounganisha Morogoro na Bagamoyo road.
nchi za watu hawajengi ya maonyesho wanajenga kukiwa na ulazima.alafu ndo watu wa kwanza kutuma picha za barabara za nje za wenzao,,,wao wakijaribu kuletewa wanapiga kelele kweli tumerogwa nabalieturoga kafaa,,,yani ingekuwa nairobi au kigali wanafanya ivyo basi ungeona huku wa tz wanavyosifia yani tz sisi wajinga wengi na wanaboa sana