Hivi kuna ukweli wanawake wazuri sana huwa hamnazo kichwani?

Beauty is in the eyes of the beholder! Mzuri kwako kwa mwingine wa kawaida tu... Na kila mtu ana criterias zake za ku define uzuri! Pia, asiye nazo kichwani si ni chizi (retard) huyo?

Vipi kama mwanamke unaemwona wewe nje ni mzuri sana, ila kichwani hazichaji kwa betri wala kwa sola?? Bado utamwita mzuri? Au utamwita tu mrembo?
 
Eee ! Ndiyo PJ ! Utafiti lazima ufanywe, tena na uanze mara moja! Na sisi wazee wa baraza tunalisimamia hilo tena kwa kiherehere!. Haya fasta tunaanza na Wema Sepetu, Lulu alafu Irene Uwoya ajiandae.

na Faraja Kotta Nyalandu
 
Mi naona wenye uzuri na mvuto wa sura mara nyingi wanakuwa wazito[slow learners]. Ila uzuri wa shepu au complexion..mh..vice versa is true
 
Kuna sehemu nimesema kuna tofauti kubwa sana kati ya kufanya vizuri darasani na uwezo wa kufikiri, kupambanua na kuamua mambo, na hapa ndipo hasa ninapopaongelea mimi
 
Hii ina ukweli based on personal experience. Lakini hata wanaume handsome ni wajinga fulani (Kama wana bahati maana wengi pia huishia kuwa ....)
 

hapo ni kweli wanawake wengi wazuri kichwani hawanazo sana nikichukulia mfamo UDOM KOZI ZA uhandisi utakuta kuna wanawake wacha sana ukilinganisha na kozi nyingine zisizohitaji kuumiza kichwa sana kama wanaosoma masomo ya biashara idadi ya warembo kule ni kubwa.
 
Tazama sociology, mass com na education pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…