Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meipenda hii mamy
Beauty is in the eyes of the beholder! Mzuri kwako kwa mwingine wa kawaida tu... Na kila mtu ana criterias zake za ku define uzuri! Pia, asiye nazo kichwani si ni chizi (retard) huyo?
Eee ! Ndiyo PJ ! Utafiti lazima ufanywe, tena na uanze mara moja! Na sisi wazee wa baraza tunalisimamia hilo tena kwa kiherehere!. Haya fasta tunaanza na Wema Sepetu, Lulu alafu Irene Uwoya ajiandae.
Take note kua haina maana kua wanawake wooote wazuri ni vilaza..... Kumbuka kua masomo yanayompleka mtu Chuo ni yale ambayo tayari alishajenga foundation toka huko nyuma.... kama ni Science, Arts, Economics na the like. Hilo la Uhandisi pia lina ukweli ndani yake.... Yale masomo hayataki lele mama, kwamba uende ukashinde wajitazama kwenye kioo... Uende ukafanye shopping kuangalia which clothes will look sexy on you.... yoote hio ikiwa imesukumwa na the attention anayopokea katika jamii hasa from the opposite sex. Unapokua huna walezi/wazazi wakukuweka katika mstari kwa kukukazania umuhimu wa kujenga future na kwamba beuty is there to stay uwe mvumilivu... Yaweza kabisa haribu mwelekeo wa one's future.
Wanawake woooote uwe mzuri ama mbaya twapenda sifa (mradi zisikithiri) toka from the opposite sex once in a while katika jamii yako... hasa zilo postive. Na twajua jinsi binti anapokua mzuri pale anapokua anavosumbuliwa na vijana huko mtaani kwa kutoongozwa na kusifiwa ni mzuri. In some ways hii yaweza mpunguzia concetration katika masomo ukifanananisha na yule ambae hasumbuliwi kabisa ana nafasi kubwa saana katika masomo than the other.... How ever hii sio absolute.
Tazama sociology, mass com na education piahapo ni kweli wanawake wengi wazuri kichwani hawanazo sana nikichukulia mfamo UDOM KOZI ZA uhandisi utakuta kuna wanawake wacha sana ukilinganisha na kozi nyingine zisizohitaji kuumiza kichwa sana kama wanaosoma masomo ya biashara idadi ya warembo kule ni kubwa.