The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Okay, but do we portray them that way or they are that way? And the tv, literatures u mentioned do they have influence on men or these women?Not all beautiful women are dumb, i'm sure there are smart ones out there also i think a lot of women pretend to be dumb you know the old Marilyn Monroe act?...I am not sure why thou...I think as soon as women stop being portrayed this way things will change. Believe it or not, TV, Literature and Music have big influence on our judgement in our everyday social situations..
Si kweli bana, (to me) mwanamke mzuri sana ni mke wangu na (to me) naona kichwani yupo saaafi. Nadhani hii ungeiweka vizuri mwanamke mzuri sana unamaanisha nini na kuwa nazo kichwani unamaanisha nini. weka vigezo nitarudi tenaNimekuwa naisikia sana hii kwamba wanawake wazuri sana huwa mara nyingi hazimo sana kichwani. Hii ni kwa dunia nzima, kwa mfano ukisoma novel nyingi za waandishi wakubwa wa novel duniani wanapomportray mwanamke mzuri (Kwa wao wa kizungu) huwa wanamalizia na dumb. Lakini hii hasa imekuwa inawaangalia zaidi models na wale wanaoingia kwenye mashindano ya urembo, hivi kuna ukweli juu ya hili?
mstari wako wa mwisho na uliyoongelea hapo kwenye red n bolded ndo umenichanganya kabisa. dunia bado inakua nimeamini!inawezekana, maana wanaume wazuri wote vichwamaji, handsome boys zero kabisa, inawezekana na warembo ikawa hivyo.
ila uzuri wa mtu uko machoni mwa mtu, sasa sijui unaongelea uzuri gani
Nakubaliana na wewe, na naweza kukupa na wengine pia kama Angela Damas na wengine but katika miaka zaidi ya 16 tangu kuanzishwa tena kwa mashindano haya ya urembo wasichana zaidi ya 800 wamekwishapita humo je tuna mifano mingapi ya wale wenye mafanikio ya kupigia upatu? Hasa yale yanayotokana na uwezo wao binafsi sio kwasababu ya uzuri ama urembo waoFaraja Kota, she was in Top 10 of best students in the country a level in 2004 , and then miss tanzania, she is beuty and wise since primary as i know her as neighbours those days,, so hapa inakuaje?
mstari wako wa mwisho na uliyoongelea hapo kwenye red n bolded ndo umenichanganya kabisa. dunia bado inakua nimeamini!
Sikutumia uzuri wa mtu mmoja mmoja na ndio maana nikasema hebu tutumie hizi category mbili ambazo pamoja na kwamba una mkeo ambaye kwako ni mzuri kuna uwezekano huwa unasoma habari mbili tatu kuhusu hawa watu.Si kweli bana, (to me) mwanamke mzuri sana ni mke wangu na (to me) naona kichwani yupo saaafi. Nadhani hii ungeiweka vizuri mwanamke mzuri sana unamaanisha nini na kuwa nazo kichwani unamaanisha nini. weka vigezo nitarudi tena
Both, there was a guy who used to say smart and beautiful women often downplay their physical appearance in order to have men to talk to them without droolingOkay, but do we portray them that way or they are that way?
You can say that again, the same people who you find them on TV, the people who write and teach literature's are the same people we live with in our daily lives..And the tv, literatures u mentioned do they have influence on men or these women?
Hili nalo neno ingawa nahisi kama linahitaji uzi wake special maana naamini ni refu sanaKitaalamu unaambiwa akili zina mikondo hivyo basi kama pande mbili yaani baba na mama hamnazo hata kama wazuri au wabaya tegemea mtoto hamnazo upende usipende hata kama atakuwa mzuri au mbaya:lol:
Yaani inadaiwa kuwa uwezo wao wa kufikiri, kuchambua na kuamua uko chini sana mkuu
She is beautiful kwa mujibu wa majaji na vigezo vyao, na anazo kichwani kwa mujibu wa baraza la mitihani na vigezo vyao, faraja Kota akishindanishwa na mke wangu na kwa vigezo vyangu hata hamkaribii. Mi nataka Tafsiri ya uzuri sana na kuwa nazo kichwani. Sidhani kama mtoa mada alitaka kumaanisha kuwa nazo kichwani ni kufaulu mitihani...lolFaraja Kota, she was in Top 10 of best students in the country a level in 2004 , and then miss tanzania, she is beuty and wise since primary as i know her as neighbours those days,, so hapa inakuaje?
Drooling i think is driven by nature and i believe that it doesn't happen to men only even women sometimes, but here comes something to think about, ist a sin to use someones weakness to ur benefit? Like what these beautiful women do, if she sees that you have fallen to her beauty she will use it to milk whatever she wants from youBoth, there was a guy who used to say smart and beautiful women often downplay their physical appearance in order to have men to talk to them without drooling
You can say that again, the same people who you find them on TV, the people who write and teach literature's are the same people we live with in our daily lives..
Kuna tofauti kubwa kati ya akili za darasani na uwezo wa kufikiri, kuchambua na kutoa maamuzi i don't wanna go far but hope mmenielewa hapaShe is beautiful kwa mujibu wa majaji na vigezo vyao, na anazo kichwani kwa mujibu wa baraza la mitihani na vigezo vyao, faraja Kota akishindanishwa na mke wangu na kwa vigezo vyangu hata hamkaribii. Mi nataka Tafsiri ya uzuri sana na kuwa nazo kichwani. Sidhani kama mtoa mada alitaka kumaanisha kuwa nazo kichwani ni kufaulu mitihani...lol
Achana na reference za wasukuma na wakurya wa kwetu huku, ndio maana nimetoa category mbili ambazo wote tutakuwa tunaongea the same language coz ukianza kucategorize kwa mtindo wako hatutafika mwafaka (wanamitindo na wale walioko kwenye mashindano ya urembo)