Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
jamani wana jf kwa sasa nipo mjini uganda huku nimekutana na kabila la watu wanaojiita wanyakole hawa jamaa wanaongea kihaya lakini wakati nikiwa huku nimekutana na wanyarwanda wa kabila la watusi pia nikagundua wengi wanaongea kinyarwanda na pia kihaya wanakielewa kukiongea.
lakini pia upande wa majina pia inaonekana wanafanana huku nimekutana na majina kama rweyemamu,rutashobola,rwegasira, rutaguza ambayo mi nimezoea kuwasikia wahaya wakitumia haya majina ,......
anyway ningependa kufahamu hivi hawa watu uhusiano wowote au ndo ule mwingiliano wa kabilaa