Mbayuwa2
Member
- Dec 5, 2011
- 25
- 3
Wana JF, inafika wakati tuwe na utaratibu wa kuelimishana na kueleweshana mambo mbalimbali, hii ni forum ya jamii ambayo inaruhusu kila member wake aweke maoni, mapendekezo na ushauri wake humu. Mimi mwenyewe naipenda sana hii blog kwani siku haipiti bila kupitipitia humu angalau kujua ni kitu gani kinaendelea humu duniani. Anyaway tuachane na haya.
Naomba niulize maswali yafuatayo katika huku kubadilisha management ya Move en pick.
1. je kubadilisha jina kila mara kuna faida gani kwetu sisi watanzania?
2. Je ni hotel zote huwa zinafanya hivyo?
3.Je hii ina faida gani katka uchumi wa nchi?
4.kwa wasiojua maana na dhana nzima ya management tutaweza kuwaeleza nini wakajua?
Je huoni kama kubadilisha badilisha majina kunaweza kuipotezea umaarufu wake wa awali?
naombeni kama kuna mwenye uelewa mzuri kidogo anape mwanga.
Nawasilisha....
UKIJUA WAJUA MWELEWESHE ASIYEJUA AKIJUA WAMEJUA