Duh jamaa unaandikaje?Jitahidi kuandika vizuri,acha kutumia x badala ya s.Sawa mkuu hakna xhida,japo ungenisaidia kidogo kupata sabab na sio kuzba nafac za akna joserevest,but ucwaze cana mm n mtu wa utani mwingi
Safi san mkuu ujue watu wengi hawajui maan ya ufupisho ila wanaleta mbwembwe kweny lughaDuh jamaa unaandikaje?Jitahidi kuandika vizuri,acha kutumia x badala ya s.
"Cana" kwenye sentesi yako ina maana gani?
Ni amriPopote ulipotumia X badala ya S rudia kuziondoa halafu tumia lugha inayoeleweka upo "JAMII INTELLIGENCE" lasivyo mada yako ni utoto haupo serious!!!..SIO OMBI
Yeah hizo lugha ziishie Chit-Chat kama hawezi huku aombe uhamisho uzi upelekwe chit chat watu wakatumie lugha waonavyo!..Tuheshimu na majukwaa!Ni amri
Govinda hakuweponahis amitha bavhan alikuwa hajazaliwa bado ndio maana vita ilikuwa ngumu kwa india [HASHTAG]#natania[/HASHTAG] tuu
Hii inadhihirisha mtu huyu kama sio hakufaulu somo la kiswahili basi mbwembwe za ufupisho wa maneno zimempita kushotoSafi san mkuu ujue watu wengi hawajui maan ya ufupisho ila wanaleta mbwembwe kweny lugha
Ua namaind mwanaume kweny "s" anaweka "x" dah yaan sijui namuonaje
Mfano sasa eti xaxa ,,,apo kafupisha nn??
Sana eti cana duh???
Ila poa kila mtu afight with his/her weather
Marekebisho nimeyapokea mkuuSafi san mkuu ujue watu wengi hawajui maan ya ufupisho ila wanaleta mbwembwe kweny lugha
Ua namaind mwanaume kweny "s" anaweka "x" dah yaan sijui namuonaje
Mfano sasa eti xaxa ,,,apo kafupisha nn??
Sana eti cana duh???
Ila poa kila mtu afight with his/her weather
Hbr za mida Wakuu,
Hivi kuna sababu zipi zilizopelekea kushindwa kwa India katika vita ya 1962.Kwa sababu ya Mpaka kati ya China na India,Japo mgogoro bado Upo chini chini,mwenye sababu anisaidie maana nimefuatiria migogoro ya mipaka mingi cana.
Soo huwa sielew kwa nini India alixhindwa vita iyoo?!!
Karibuni wakuu turidadafue hili jambo..