Hivi Kuna rapa wa kitapeli kama huyu jamaa

Hivi Kuna rapa wa kitapeli kama huyu jamaa

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
364
Reaction score
735
Huyu jamaa mistari yake hapana

Utasikia

1) Wanataka nife Ili Aishi manula

2)Vyombo vya habari vinaoshwa kwenye besen

3) Hata wachawi wanajua mchawi pesa

4)Dirisha la usajili wameweka mapazia

5)Nanunua kanga mbele ya maulidi kitenge

6) Nimeongea na ndugu yangu anaitwa Maneno akasema Hana neno

7)Nimekosa pa kukaa nikakaa kimya

Hiyo ni baadhi tu ila itoshe kusema jamaa ni mmoja kati ya marapa wa kitapeli ambao Taifa limebahatika kuwa nao
FB_IMG_1772979691270.jpg
 
Ila huu mziki wa kufokafoka umetoka mbali.. zamani waimbaji walikuwa wanaonekana kama machizi au mazezeta hivi na wao walikuwa wanaona sifa..
Umetoka mbali sana ukianzia kwenye asili yake kabisa.. mpaka Ile era ambayo kila kitu kikawa the same flow, rhythm na etc
 
Anakwambia

"Nshawai kumkuta steve mweusi kitambaa cheupe"

"Nalinda bustan yangu wasimuibe maua sama"

"Jela hakuna amani hata, uingie na frida"

"Mi niliwah kumkuta Joh Makini akifanya uzembe😂"

"Ukimuita Manara Haji"

"Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe"

"Yaliyonitokea shekilango sitaki tena urafiki"
 
Huyu jamaa mistari yake hapana

Utasikia

1) Wanataka nife Ili Aishi manula

2)Vyombo vya habari vinaoshwa kwenye besen

3) Hata wachawi wanajua mchawi pesa

4)Dirisha la usajili wameweka mapazia

5)Nanunua kanga mbele ya maulidi kitenge

6) Nimeongea na ndugu yangu anaitwa Maneno akasema Hana neno

7)Nimekosa pa kukaa nikakaa kimya

Hiyo ni baadhi tu ila itoshe kusema jamaa ni mmoja kati ya marapa wa kitapeli ambao Taifa limebahatika kuwa nao
View attachment 3554988
Hahhaa nunua kanga mbele ya maukifi kitenge😆😆
 
Anakwambia

"Nshawai kumkuta steve mweusi kitambaa cheupe"

"Nalinda bustan yangu wasimuibe maua sama"

"Jela hakuna amani hata, uingie na frida"

"Mi niliwah kumkuta Joh Makini akifanya uzembe😂"

"Ukimuita Manara Haji"

"Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe"

"Yaliyonitokea shekilango sitaki tena urafiki"
Na umakini wote wa Joh bado kafanya uzembe😁😁😁😁
 
Kwenye hii ngoma aliua kinoma, msikilize Hapa

0:00 ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||| 3:46 ▶️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom