Kiwango cha mwisho cha uvivu wa kufikiriBora kazaliwa mbwa Ulaya.
Kiwango cha mwisho cha uvivu wa kufikiriBora kazaliwa mbwa Ulaya.
oya huu sio msemo wa kilofa,hiyo ni fact yaani bora uwe dog tu ulaya kuliko kuwa binadamu afrika!!Bora kazaliwa mbwa Ulaya.
aisee !!!au mi ndo nimeelewa tofauti??Mh mh Archduke, honey ulichopewa ww mie ndio nimenyimwa
Sjui mmaisee !!!au mi ndo nimeelewa tofauti??
Mtu anaeamini huo msemo, huwa nasikitika halafu namhurumia sana.huo " ndio" msemo WA kijinga " kabisaaaa
Eeeeeehhahahaha nimejawa na masapraiz nimekupiga bao la kisigino
Haiwezekani mfungwa awe tajiri kuliko askari wangu wa magereza!Kwa maoni yangu huu ndio msemo wa kilofa ulio katika kiwango cha juu kabisa cha ulofa na kwa wakati wote
ALIEKUPA WEWE NDIO ALIENINYIMA MIMI..
Siamini kama kuna msemo mwingine wa kilofa unao fikia viwango vya ulofa wa msemo huo hapo huu.
Watu wote wanao tumia msemo huo hapo juu wana sifa moja in common.." Ulofa" wa kiwango cha lami..
Personally I cannot keep a friend anae tumia msemo huo na ikitokea bahati mbaya nikaingia katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamke halafu nikamsikia anazungumza sentensi hiyo basi nitampiga chini with an immediate effect..
I got a very negative attitude towards persons who use such kind of a sentence.
Kama una msemo mwingine wa kilofa wenye kiwango cha msemo huo hapo huu utaje mkuu tufanye comparison..
Kiwango cha mwisho cha uvivu wa kufikiri
oya huu sio msemo wa kilofa,hiyo ni fact yaani bora uwe dog tu ulaya kuliko kuwa binadamu afrika!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mkuu...ila aliekupa wewe ndio kaninyima mimi! Yeye ndie mpanga yote.
Msemo unaonichefuaaaaa ni "NIMEJENGA KAKIBANDA KANGU KIBAMBA NAISHI HUKO SA HIVI". Kibanda?!!!!! Nachukia mtu akisema hivo