veronica.kyamba
Senior Member
- Sep 21, 2014
- 148
- 37
nina hakika haumpati hata mmoja.
nina hakika haumpati hata mmoja.
ushauri ndio shida kuu.. ilo.la mpenzi ni.kama ikitokea mtu wa type hiyo akasoma hapa
andika vizuri, kama sio boya usingeleta uzi wa kitoto kama huuMM sio.boya hivo
nina hakika haumpati hata mmoja.
hahaha sivizuri kumvunja moyo
acha kumpoteza jamaa yako aisee... hapa pesa kwanzalabda atampata miss chagga :teeth:
bila pesa?? mmm maji hayapandi mlima.
nina hakika haumpati hata mmoja.
two in one but main.ni.ushaur an la pili ni.incase kama mtu wa type hiyo akipita hapa ila main.ni ushaur tu
Hata Wakununua Nao Ashindwe!
Naombeni kujuwa jamani hivi kama mtu huna pesa unaweza kupata mpenzi akakupenda kwa dhati kweli bila visa vyovyote kama usaliti nk?
Mimi sina pesa na sina mpenzi kila nikitaka kutongoza yananijia mawazo kuwa bila pesa nitakuwa napoteza muda wangu tu.
Hii hali ninayo tokea nikiwa high school mpaka sasa nipo University huu uoga hautoki nijuzeni wakuu kama inawezekana kuwa na mpenzi kama huna pesa za kulea nahisi kuchoka kuwa single au niendelee kuwa single hadi nimalize chuo nije kupata job ya kunipa kipato then kama kuna girl wa type hiyo anaeweza kumpenda mtu asiye na pesa kwa dhati na umeona aka ka uzii embu ni.cheki hapa 0656879668.
Mmmmh! Unamambo!