pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,756
Kuna wakati panahitajika patofautishwe kati ya JF na FB,maana mambo haya yanatakiwa yawepo FB kule wanaosema X badala ya S
Kijana huo muda unaoupoteza hapo chuo kwa kuwaza papuchi utakuja kuujutia......warembo kila siku wanazaliwa wa kila aina na na kila dizaini tofauti......komaa na masomo kwa sababu wakati ni ukuta hauwezi kushindana nao......kwanza jenga maisha then hao unaowaona warembo watakuja automatic......tafadhali usiichezee hiyo nafasi adhimu ambayo wengi tumeikosa na bado tunaililia......kwa wakati huu mawazo , akili zako na nguvu zote zielekeze kwenye masomo kwa kuwa ndio future yako.......hayo mapenzi kaka yako nimeyafanya toka nabalehe mpaka umri huu bado sijaona faida yake zaidi ya kunitia hasara tu.....KOMAA NA MASOMO......MAISHA BILA ELIMU NI SAWA NA KUNGOJEA BASI STENDI BILA YA NAULI............................HUUU NDIO USHAURI WANGU KWAKO..............
Huwa napiga mkuu,hasa kutumia mafuta au lotion,sabuni inachubua halafu kuna tu maumivu katika povu.wewe unapiga????
Haya mkuu kama umenielewa.....utakuja kuona faida yake huko mbeleni........kwa sasa pigana katika kuyashinda majaribu....ya ngono...shukrani.mkuu kwa ushauri wako ntajitahid kuufuata
Wewe dogo unapiga punyeto kwa idhini ya nani mbona chama chetu hakikutambui......nyoosha maelezo...kijana....Huwa napiga mkuu,hasa kutumia mafuta au lotion,sabuni inachubua halafu kuna tu maumivu katika povu.
hahaha hapana aise mim.punyeto siwez piga bora fani.ingine
mkuu mie ni babu mjukuu wangu wa kwanza yuko form 2wewe dogo unapiga punyeto kwa idhini ya nani mbona chama chetu hakikutambui......nyoosha maelezo...kijana....
Sasa ndio unajiona mkubwa wakati wenzio wajukuu zetu wako vyuo vikuu...mkuu mie ni babu mjukuu wangu wa kwanza yuko form 2
Kijana huo muda unaoupoteza hapo chuo kwa kuwaza papuchi utakuja kuujutia......warembo kila siku wanazaliwa wa kila aina na na kila dizaini tofauti......komaa na masomo kwa sababu wakati ni ukuta hauwezi kushindana nao......kwanza jenga maisha then hao unaowaona warembo watakuja automatic......tafadhali usiichezee hiyo nafasi adhimu ambayo wengi tumeikosa na bado tunaililia......kwa wakati huu mawazo , akili zako na nguvu zote zielekeze kwenye masomo kwa kuwa ndio future yako.......hayo mapenzi kaka yako nimeyafanya toka nabalehe mpaka umri huu bado sijaona faida yake zaidi ya kunitia hasara tu.....KOMAA NA MASOMO......MAISHA BILA ELIMU NI SAWA NA KUNGOJEA BASI STENDI BILA YA NAULI............................HUUU NDIO USHAURI WANGU KWAKO..............
Ushaanza kunichokoza wewe mwanamke.....kwanza ujue nakudai.....koh koh kumbe koh koh na wewe sometimes yes koh koh ooooh
Ushaanza kunichokoza wewe mwanamke.....kwanza ujue nakudai.....
Umeasahu jana ulivyonibust....umesahaueee.....???Wanidai nini wewe mwanaume?