JfBro
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 587
- 163
Naombeni kujuwa jamani hivi kama mtu huna pesa unaweza kupata mpenzi akakupenda kwa dhati kweli bila visa vyovyote kama usaliti nk?
Mimi sina pesa na sina mpenzi kila nikitaka kutongoza yananijia mawazo kuwa bila pesa nitakuwa napoteza muda wangu tu.
Hii hali ninayo tokea nikiwa high school mpaka sasa nipo University huu uoga hautoki nijuzeni wakuu kama inawezekana kuwa na mpenzi kama huna pesa za kulea nahisi kuchoka kuwa single au niendelee kuwa single hadi nimalize chuo nije kupata job ya kunipa kipato then kama kuna girl wa type hiyo anaeweza kumpenda mtu asiye na pesa kwa dhati na umeona aka ka uzii embu ni.cheki hapa 0656879668.