Hivi kuna mahusiano gani kwa wasichana wenye Sura ngumu na kuvuruga mahusiano ya watu?

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
10,518
19,883
Habari wakuu.

Jana nilikuwa sehem nimetulia mida ya jioni napata juice ya tende mixed maziwa.
Wakatokea wasichana 3 wa miaka kama 25--29 hivi.
wakaja kukaa pembeni kidogo na Mimi.,

Kati ya hao wasichana yupo mmoja ambaye aliuteka Sana moyo na akili yangu.
Mtoto Laura,,

Mtoto black lakini amekamilika kila idara.
Mtoto amevaa ushungi lakini yupo so cute yaani.

Nikasema ngoja niangalie uwezekano wa kuwafata wale wasichana ili nijaribu bahati yangu kwa Laura.

Huwezi amini,,
kumbe lilikuwa kosa kubwa Sana kumfata Laura akiwa na wale wasichana Sura ya babu zao.,

Niliwasalimia,,wale warembo,
Laura pekee alinipokea kwa tabasamu kubwa,,
Huku wale Sura ngumu wakiitikia kwa sauti ya chini.
Laura alionyesha dalili zote za kunipa ushirikiano wa maongezi yangu.

Tatizo lilibaki kwa wale wasichana Sura ya babu .
Walisaga kunguni hadi nikashindwa kupata hata mawasiliano ya Laura.

"--Mara wachana nae mke wa mtu "
"--Mara hataki wazee."
"--Mara una pesa wewe?"ya kumtunza?

Nikaomba namba kwa Laura,,
mtoto anajiandaa kutoa namba ,
Wakarukia wale Sura ngumu kwa kusema,

""kwanza Laura hana simu,
hyo namba ya simu atatoa wp akupe?"
Dahh,,

Yaani mradi wanivurugie moody na yule mrembo.

Mwisho nikajiondokea huku moyoni naumia.

Na sio mara moja kuvurugiwa mipango na wasichana Sura ngumu.
Au wenye maumbo tata..

Sura ngumu mpoje lakini?.

Hivi kuna mahusiano yeyote kisayansi ,
au kisaikolojia kuwa na Sura ngumu,,
au kuwa na umbo tata na kuvurugia wasichana wenzao kutongozwa?
 
Tuiombee Simba/Mnyama ashinde mechi ya leo kule Bondeni. Acha mambo ya uchi uchi hapa.
 
Kosa moja kubwa ulilolifanya ni kumfuata huyo mrembo moja kwa moja. Kwa kuwa walikuwa kikundi ungeenda pale kama rafiki wa kikundi na ndipo ungetafuta chance ya kumu-approach yeye peke yake. Kama ulikuwa na marafiki ungewaambia wawachuke hao 'wabaya' ili upate nafasi ya kuongea na huyo mrembo.

Kwa namna yoyote kwa njia uliyoenda nayo wale 'wabaya' lazima waone wivu na lazima wakuharibie. Hao wafoili huwa karibu na warembo ili na wao wapate attention.
 
Hili Jambo linashamgaza sn.
Huwezi kukuta warembo wawili wanatembea pamoja.
 
Wanawake wanavyoupenda uzuri huwa ni pigo kwao wanapoukosa,

Ni ngumu sana kumpata Mwanamke Ugly kuliko kumpata Mwanamke cute

Mwanamke mrembo akisifiwa huona kawaida tuu,
After all ashazoea

Mwanamke mrembo anatarajia atongozwe koz anajua ni mrembo

Mwanamke mrembo hanaga self confidence

Wanawake ugly wamejaa maconfidence kama compensation ya deficit yao ya nje, ni kazi mno kuwapata wanawake Ugly

Tangu niujue huu ukweli I never approach Ugly women!

Nafsi ya Mtu inataka kuwa ( to be),so ili isicollapse, nje pakiwa weak ndani panakua strong!

Huwez kukuta mrembo anaejiamini amejiwekea makopa au anapost sijui Self love or self care au anasema anajikubali——hizo ni post za weak ugly women wanacompensate Ugliness ya nje na Viimani( beliefs) vya kijinga.
 
umemaliza kila kitu ngoja nitumie salamu kwa watu watatu yna2 popote ulipo to yeye popote ulipo na yule mwingine wa kutubadilisha picha za makalio kwenye avatar zake ujumbe tumeiona hiyooo
 
Ukute hao surangumu huyo mrembo ni Chakula yao,Lazima wawe na wivu
Ajabu kabisa.
Lakini sasa nimejifunza sn.

Siwezi kutongoza mrembo akiwa na mwenzie Sura ya babu yake.

Ni Bora nisubiri siku ingine akiwa alone.
 
Habari wakuu.

Jana nilikuwa sehem nimetulia mida ya jioni napata juice ya tende mixed maziwa.
Wakatokea wasichana 3 wa miaka kama 25--29 hivi.
wakaja kukaa pembeni kidogo na Mimi.,

Kati ya hao wasichana yupo mmoja ambaye aliuteka Sana moyo na akili yangu.
Mtoto Laura,,

Mtoto black lakini amekamilika kila idara.
Mtoto amevaa ushungi lakini yupo so cute yaani.

Nikasema ngoja niangalie uwezekano wa kuwafata wale wasichana ili nijaribu bahati yangu kwa Laura.

Huwezi amini,,
kumbe lilikuwa kosa kubwa Sana kumfata Laura akiwa na wale wasichana Sura ya babu zao.,

Niliwasalimia,,wale warembo,
Laura pekee alinipokea kwa tabasamu kubwa,,
Huku wale Sura ngumu wakiitikia kwa sauti ya chini.
Laura alionyesha dalili zote za kunipa ushirikiano wa maongezi yangu.

Tatizo lilibaki kwa wale wasichana Sura ya babu .
Walisaga kunguni hadi nikashindwa kupata hata mawasiliano ya Laura.

"--Mara wachana nae mke wa mtu "
"--Mara hataki wazee."
"--Mara una pesa wewe?"ya kumtunza?

Nikaomba namba kwa Laura,,
mtoto anajiandaa kutoa namba ,
Wakarukia wale Sura ngumu kwa kusema,

""kwanza Laura hana simu,
hyo namba ya simu atatoa wp akupe?"
Dahh,,

Yaani mradi wanivurugie moody na yule mrembo.

Mwisho nikajiondokea huku moyoni naumia.

Na sio mara moja kuvurugiwa mipango na wasichana Sura ngumu.
Au wenye maumbo tata..

Sura ngumu mpoje lakini?.

Hivi kuna mahusiano yeyote kisayansi ,
au kisaikolojia kuwa na Sura ngumu,,
au kuwa na umbo tata na kuvurugia wasichana wenzao kutongozwa?
Eti mweusi LAKINI...
 
Back
Top Bottom