Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 48,664
- 39,314
ulitapika kwasababu wewe sio mchina gentlemen šHawa jamaa wanakula kila kinachotembea.
Nimejaribu kula minofu ya nyoka na chura nimeshindwa aise nimeishia kutapikaš
ulitapika kwasababu wewe sio mchina gentlemen šHawa jamaa wanakula kila kinachotembea.
Nimejaribu kula minofu ya nyoka na chura nimeshindwa aise nimeishia kutapikaš
Samahani we ni Me au KE.?ulitapika kwasababu wewe sio mchina gentlemen š
Wanakula mpaka kaa, konokono, mbwa, mamba, kobe tena wanakaanga vizuri na kujaza viungo kuvutia ulaji
Snail roastSasa kaa, kononkono wanashinda gani?
Hawa kononkono tunao wadharau ndio delicacy kule ufaransa.
Utamu wa kaa unashangaa?
Wewe ni mwanaume kweli?
Mbwa mbona chakula kizuri kule Iringa, mbona hushangai punda kuliwa kule Singida
Yeah,Labda
KobokoHawa jamaa wanakula kila kinachotembea.
Nimejaribu kula minofu ya nyoka na chura nimeshindwa aise nimeishia kutapikaš
Oya izo kende? Unakuta hii sahani ya mgahawani. dafuqHii wanakula
View attachment 3682037
Okay okaywanakula