klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Na mimi naongelea fungate.Kama ambavyo wazungu waliianzisha kwa maana yao ndivyo ambavyo na sisi tunaweza kubadili maana kuendana na mazingira yetu.Oh alafu nna njaa...sijala kabisa leo!
waheshimiwa Mbu na Lizzy labda mtupe maana ya fungate kwanza. halaf tutauliza masuali ya nyongeza....fungate muhimu bana, hata mkiwa kwenye ndoa si vibaya mara moja kwa mwaka kujipa fungate!
Mnahitaji muda nyie wawili faragha mbali na majukumu yenu ya kila siku ku 'refresh!'
Kwa hao wana ndoa, acha nao wapumzike baada ya heka heka za kuandaa harusi.
waheshimiwa Mbu na Lizzy labda mtupe maana ya fungate kwanza. halaf tutauliza masuali ya nyongeza.
waheshimiwa Mbu na Lizzy labda mtupe maana ya fungate kwanza. halaf tutauliza masuali ya nyongeza.
kwa hili la fungate nadhani wazungu ndio waliiga afrika. hivi unajua fungate lilianzia afrika, naomba usibishe nina data kamili.Hivi babu na bibi zetu walikuaga na fungate?Sio lazima kuiga kila kitu kama kilivyo kwahiyo maana tuliyoletea sio muhimu hapa!Wanaoenda wanatumia kama muda wa kupumzika..kuconnect au kureconnect kitu ambacho nadhani ndo muhimu kwa wanandoa wote..hata kama walishazeeka!
kwa hili la fungate nadhani wazungu ndio waliiga afrika. hivi unajua fungate lilianzia afrika, naomba usibishe nina data kamili.
...pheewww, umeni quote kabla sija edit bana.
Fungate ni kwa wanandoa changa (Newly Weds)
Najaribu kutafuta neno muafaka kwa Veterans kama mimi,
nikienda ku renew vows, siwezi kwenda/kuita 'fungate?'
nitarejea, acha niwasiliane na ofisi flani hivi. hakikisha unanisubiri na karatasi na kalam. nilipojiunga na JF nilijua kwamba nahitajika. sikujiunga kuongeza idadi ya member tu.Nabisha mpaka ntakapoona hizo data!
ukilipata utatusaidia wengi, hata mimi nalihitajia.
nitarejea, acha niwasiliane na ofisi flani hivi. hakikisha unanisubiri na karatasi na kalam. nilipojiunga na JF nilijua kwamba nahitajika. sikujiunga kuongeza idadi ya member tu.
hivi mpaka leo haujui nani ananihitaji? be serious bana Lizzy. ok :focus:Nani tena anakuhitaji??
Jamii nyingi za kiafrika walikuwa na honeymoon ya aina ingine,baada ya harusi kwa wiki moja hawatoki ndani na wanahudumiwa kila kitu na ndugu,idadi ya siku ilitofautiana kati ya jamii.Hivi babu na bibi zetu walikuaga na fungate?Sio lazima kuiga kila kitu kama kilivyo kwahiyo maana tuliyoletea sio muhimu hapa!Wanaoenda wanatumia kama muda wa kupumzika..kuconnect au kureconnect kitu ambacho nadhani ndo muhimu kwa wanandoa wote..hata kama walishazeeka!
kamanda asavali umenijibia. huyu Lizzy naona ameanza kusahau afrika tangu apate ka viza ka kwenda romania.Jamii nyingi za kiafrika walikuwa na honeymoon ya aina ingine,baada ya harusi kwa wiki moja hawatoki ndani na wanahudumiwa kila kitu na ndugu,idadi ya siku ilitofautiana kati ya jamii.
Hahaha visa ya Romania tena ? lol! kamanda unauaaa hivi ulirudi lini kutoka Chekoslovakia ? lol!kamanda asavali umenijibia. huyu Lizzy naona ameanza kusahau afrika tangu apate ka viza ka kwenda romania.
ina maana hakukushtua Lizzy, mbona aliaga sana tu hapa. Mkuu bado nipo huku shekoslovakia, wazembe wanakula mikate balaa, kila hatua nane kuna bakery.Hahaha visa ya Romania tena ? lol! kamanda unauaaa hivi ulirudi lini kutoka Chekoslovakia ? lol!
Hawawashindi wazambia mtu anamaliza mkate mzima na soda moja lol!ina maana hakukushtua Lizzy, mbona aliaga sana tu hapa. Mkuu bado nipo huku shekoslovakia, wazembe wanakula mikate balaa, kila hatua nane kuna bakery.
dah! hii ni new release kwangu! kamanda uliwahi kubeba maboksi zambia nini?Hawawashindi wazambia mtu anamaliza mkate mzima na soda moja lol!
Mhuu!Sasa Kloro embu sema kuna ubaya gani hata wakongwe kama mimi na mwenzangu tukiamua kujifungia ndani wiki moja?Jamii nyingi za kiafrika walikuwa na honeymoon ya aina ingine,baada ya harusi kwa wiki moja hawatoki ndani na wanahudumiwa kila kitu na ndugu,idadi ya siku ilitofautiana kati ya jamii.
Kama kawaida yako..yani kuficha siri kunakushinda kabisa?Ndo maana huitajiki magharibi wala mashariki..achilia mbali kusini na kaskazini.kamanda asavali umenijibia. huyu Lizzy naona ameanza kusahau afrika tangu apate ka viza ka kwenda romania.
Umaana upo kwa wahusika.