Hivi kuna deodorant inaizidi Nivea Fresh Energy?

Hivi kuna deodorant inaizidi Nivea Fresh Energy?

Hii nitaitafuta nione.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kweli kabisa mkuu.
Wewe endelea kupiga kazi yako kwa weledi, hata hivyo kuchunga ng'ombe na pafyum wapi na wapi!?

Wasikubabaishe, tunza uanaume wako wa asili.
Hamna mambo za marash kunukia nukia kama mwanamke wa kihindi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom