Hivi kuna deodorant inaizidi Nivea Fresh Energy?

Hivi kuna deodorant inaizidi Nivea Fresh Energy?

Harufu ya jasho ni uchafu. Ukienda kwenye ulimwengu wa watu wastaarabu watakushangaa mtu unanuka kikwapa sababu hiyo ni indicator ya mtu mchafu.
Kwaiyo mwanetu we unanuka kikwapa??
Bas ww una shida kama unaoga bado kikwapa kinanuka hiyo n tatzo
 
Fogg Deodorant Elegance Hiyo Ni Kiboko Nzuri Sana
IMG_20260726_153804.jpg
na body spray yake ni nzuri Kwa wanaopenda kunukia.
 
Mkuu, hiyo chupa ni ya wanawake ndiyo maana hata harufu yake ni mzuri sana.

Men tunaishi na hii chupa.
1785070364622.webp
 
Mwanaume unatakiwa uwe na harufu yako natural siyo artificial!!
Kweli kabisa mkuu.
Wewe endelea kupiga kazi yako kwa weledi, hata hivyo kuchunga ng'ombe na pafyum wapi na wapi!?

Wasikubabaishe, tunza uanaume wako wa asili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom