Ningekushauri muende hospital hilo tatizo litaisha. Ninasikiaga watu hao wanapigwaga bomba kuondoa mauchafu yote huko nyuma na baada ya hapo anakuwa yupo fresh.Habari zenu humu ndani jamani. Ningeomba mnisaidie kujua kama kuna dawa ya kuacha ushoga au namna ambayo mtu anayefanya ushoga anaweza akasaidiwa kuacha. Nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 28 sasa, elimu yake ni degree. Alishafanya kazi sehemu lakini kwa sasa hana kazi(anatafuta).
Hivi karibuni tumegundua kuwa anafanya mambo ya kishoga, ni baada ya mama kukuta meseji kwenye simu yake za mwanaume akiwa anamwambia ni jinsi gani alivyofuraia kumfanya kinyume na maumbile "nimepunguza ukali wa maneno kidogo hapa"maana hizo meseji huwezi ziangalia mara mbili kwakweli.
Yaani yeye ndie anayefanywa, kwakweli tumeumia sana kama familia, na haya mambo ndugu zanguni yasikieni tu kwa watu, yakitokea kwenye familia yenu yanaumiza sana.
Tulimsema sana (mimi na mama) na kwasababu tulikuwa naushahidi akabaki kajiinamia tu kwa aibu,yani hapa tulipo hatujui cha kufanya . Bora angekuwa mtoto tungemfungia ndani na ingekuwa rahisi ata kumcontrol.
Naombeni ushauri jamani, angalau mawazo yatasaidia kwa njia moja au nyingine. Baba alishafariki,angekuwepo angepata fedheha sana na kuumia zaidi.
Habari zenu humu ndani jamani. Ningeomba mnisaidie kujua kama kuna dawa ya kuacha ushoga au namna ambayo mtu anayefanya ushoga anaweza akasaidiwa kuacha. Nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 28 sasa, elimu yake ni degree. Alishafanya kazi sehemu lakini kwa sasa hana kazi(anatafuta).
Hivi karibuni tumegundua kuwa anafanya mambo ya kishoga, ni baada ya mama kukuta meseji kwenye simu yake za mwanaume akiwa anamwambia ni jinsi gani alivyofuraia kumfanya kinyume na maumbile "nimepunguza ukali wa maneno kidogo hapa"maana hizo meseji huwezi ziangalia mara mbili kwakweli.
Yaani yeye ndie anayefanywa, kwakweli tumeumia sana kama familia, na haya mambo ndugu zanguni yasikieni tu kwa watu, yakitokea kwenye familia yenu yanaumiza sana.
Tulimsema sana (mimi na mama) na kwasababu tulikuwa naushahidi akabaki kajiinamia tu kwa aibu,yani hapa tulipo hatujui cha kufanya . Bora angekuwa mtoto tungemfungia ndani na ingekuwa rahisi ata kumcontrol.
Naombeni ushauri jamani, angalau mawazo yatasaidia kwa njia moja au nyingine. Baba alishafariki,angekuwepo angepata fedheha sana na kuumia zaidi.
kwani umaskini unachangia mtu kuwa shoga, mashoga wengi wametoka kwenye familia nzuri tu so ishu ya umaskini ifute kichwani kwako kabisaPoleni sana.
Shida ni nini hasa, umasikini au ana homoni za kike?
....mbaf kabisa....[emoji34] [emoji34]Dah. Mtafutie manzi mkare
Well said, pamoja na kumfanyia counsellingPoleni sana kama familia!
Tafuteni kiongozi wa dini yenu mnayo abudu (mwenye busara lakini) mwelezeni hilo tatizo ili amuite waongee naye!
NB: huyo kiongozi muwe na uhakika ni mtu mwenye busara na hekima vinginevyo ataharibu zaidi
Aokoke ampe Bwana Yesu Maisha yake 100% atarudi normal. Pia ataweza kuwa huru kukuhadithieni the history nzima ya hilo tatizo.kazi kwako kuchukua hatuaNingekushauri muende hospital hilo tatizo litaisha. Ninasikiaga watu hao wanapigwaga bomba kuondoa mauchafu yote huko nyuma na baada ya hapo anakuwa yupo fresh.