MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,952
A.K.A MIMI ya Albert mangwair
Mkuu hapo unaulizia juice ya miwa KFC.Hata Ngwear salute.Ila humu ni Congolese nadhani.
A.K.A MIMI ya Albert mangwair
Zania wa koffi ulikuwa kwenye albam gani mkuu?naomba uisikilize album ya Titanic halafu utakuja kuniambia mkuu,Koffi olomide album yake bora ni ya LOI Ilikuwa na nyimbo kumi
1.Loi
2.Itineraire
3.SOS
4.phaseur
5.Papito chatme
6.Mokuwa
7.Airways
8.Motomolo
9.Vicky
10.Micko
zaidi ya hapo album zake huwa ni nzuri lakini haziifikii hii
Hatariii sana....na ule wimbo wake maduani kweli Titanic ilitoka baada ya wakina Werrason na wenzake kujitoa ndani ya BCBG,hiyo ilikuwa (kujitoa kwa Werrason na Wenzake),december 1997 na hii ilitokana na JB Mpiana kuja na solo album iliyoitwa Feux de l'amour