Albam bora ni hizi hapa:
1. V.I.P. (Vijana Sagha Rhumba) Kulikuwa na nyimbo kali ambazo hazijawahi kutokea kama Shoga, V.I.P., Mfitini, Bahari Imechafuka, Mama Chichi, na Theresa.
2. Party Ya Kuaga Umasikini (Vijana Sagha Rhumba) ikiwa na Party Ya kuaga Umasikini, Baba Samia, Mbuzi Yake Kamba, Kaka Khalfani, Lipi Jema, Catherine
3. Dunia Kigeugeu (Wazee wa Ngwasuma F.M. Academia)
4. Piga Ua Talaka Utatoa (Msondo Ngoma) ikiwa na wimbo wa hilo jina na ule uliotamba sana wa Mzee Wa Miba (ngoma a.k.a. VVU)
5. Mwaka Wa Taabu (Mchinga Generation - G-8)
Hapa hakuna cha Titanic wala nini ni muziki tu uliokwenda shule pamoja na tungo za nguvu sema tu radio zetu (Kina Ruge na vibaraka wake - madj feki) kwa ujinga wao wanalazimisha kuua muziki wetu wa asili.
5.