MichazPipoz
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 533
- 150
Nafikiri Awilo alitisha sana
Naunga mkono hoja tinna cute
Wenge BCBG mwaka 1999 walitoa album yao inayoitwa TITANIC yenye nyimbo kumi,hakika labum hii kwangu mimi ndio album bora ya rumba kewahi kutokea.Kila wimbi utakaousikiliza hutamani uishe zaidi utarudia tena na tena..mpaka leo sichoki kusikiliza hii album.
Wale wapenzi wa rumba mtakubaliana na mimi kwamba album hii ni moto wa kuotea mbali.hebu angalia list ya nyimbo kwenye hiyo album na watunzi wake:
1.Titanic
(Wenge BCBG & Roberto)
2.R.D.C
(JB Mpiana)
3.Barakuda
(Alain Makaba Prince)
4.Omba
(JB Mpiana)
5.Proces Mambika
(Alain Mpela Afande)
6.Likala moto
(Blaise Bula)
7.Tour eifel-
8.Champion Kapangala
(JB Mpiana)
9.Liberation
(Aimelia Lias)
10.Serge palmi
(Burkina Faso Kasongo)
mkuu nakapanya ule wimbo ambao werason na timu yake wako ufukweni wanawaokoa watu waliozama nadhani ndo unaitwa "intervantion rapide" unanikosha sana
A.K.A MIMI ya Albert mangwair
Hapa kundi lilishaanza kusambaratika, Werason alishaondoka hapa. Mi kwangu nadhani ukiacha Kalay boeing, kuna album ya mwaka 2007 Ndombolo kwangu mimi ni bora kwa Wenge lakini, sio bora kupita zote za Zaire/Congo.
Oooh!!!!! thanx jaman.
karibu...mi unanidediketia upi?
hiyo ndio intevention rapide,anawaokoa waliozama ndani ya Titanic,lakini Werrason alivyokuwa na utani na jamaa akaandika tena wimbo huo wa mission impossible kwa maana kwamba ni lazima wazame kuwaokoa imeshindikana
Me nakudediketia aspirine,,,, lol wish uniimbie.
Thank you mada'm, unajua nimeshaanza mazoezi hapa...what a lovely song hii albam ilikuwa funika mbaya...hivi why Koffi hatoi vitu vikali namna hii!?