Hivi kumbe wanawake nao wamo eeeh...!?

Hivi kumbe wanawake nao wamo eeeh...!?

Huyo dada huenda ana pepo la ngono au tayari ana umeme anataka kuongeza idadi:israel:

Mkuu hawa wana nyege kuliko hata mwanaume sema tu wanasubiri kuanzwa ndo mana huwezi kuwajua moto wao.
 
Tangu nimezaliwa sijawahi kutongoza mdada yoyote,wanakuja wenyewe!huku kitaa wananiita Sumaku sijui kwa nini!!!:becky:
 
Nilimtongoza demu mmoja hivi tunaishi jiran, lakin kwa utani yeye kajua sirias akaomba aje kulala hm nkawa nampotezea kua wifi yako leo anakuja na alkua anamjua, cku moja akaja kunigongea ucku akadai ameshindwa na ahad isiyotimizika wakati najitetea yeye huku akavua gauni huku ndani hajavaa chochote na kupanda kitandani wee acha tu kilichoendelea hapo sisemi, wanawake mkiamua mnaweza.
 
Tangu nimezaliwa sijawahi kutongoza mdada yoyote,wanakuja wenyewe!huku kitaa wananiita Sumaku sijui kwa nini!!!:becky:

Hiyo ipo mkuu, nliachana na demu wangu kwa madai nna damu mbaya sana ya kupendwa na wanawake ovyo eti ntakuja kumtesa nikija kumuoa.
 
Kiukweli nilikua sijawahi kusuhudia mwanamke akilazimisha ngono kama huyu.
"
Huyu dada alitongozwa na jamaa yangu ambae ni fundi wa viatu,huyu jamaa ana kazi nyingi sana,sasa huyu dada baada ya kumkubali huyu jamaa yangu wakawa wanaahidiana lakini jamaa anashindwa kutokea kwa sababu ya ubusy.
"
Mdada akawa anavumilia mpaka akawa anamfuata jamaa kazini na kumuuliza kama alikua anamtania alipomtongoza,jamaa akawa anajitetea kazi.Jana ilikua ni ahadi nyingine lakini jamaa hakutokea na dada kwa hasira alimtumia jamaa sms hii;
"
"KAA NA HIYO KITU YAKO WE SI UMEIONA MALI BWANA KM VP POA AU SIO.
"
Kisha baadae jamaa alimpigia simu dada huyo hakupokea baadae alituma sms iliyosema hivi;
"
"UKITAKA TUELEWANE NIPE HIYO KITU".
"
Nilijua ni wanaume tu,kumbe na wadada nao unaweza kugombana nao kwa kuwazungushaeeeeh.
"
Sikujua au ndo haki sawa?
"
What man can do,a woman can do!!!!!

ukiona hivyo uje jamaa yako wadada wa mtaani "washampaka" kwamba jogoo mgonjwa.
hiyo huyo dada ana-mission ya kuthibitisha hilo.
 
ukiomba vibao Polisi unategemea nini?? unapopewa unalia au???
huyo Dada namkubali sana-unapocheza na mwenye njaa unategemea nini!
nafikiri wadada wengi wangekuwa hivo heshima ingekwepo!

Mwanaume sawa... Ila mi mwanamke akinikomalia naanza kuhisi kuna kitu anataka kunikamatisha...
 
Back
Top Bottom