BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
BADILI TABIA ,fundi jogoo anapanda mtungi kwa kuwa ana mtoto.
"
Ni kweli,lengo la kutongoza ni pamoja na migegedo,lakini kama ulivyosema hakuna muda maalum.
"
Hii ina maana hata siku hiyohiyo au hata baada ya mwaka mkitaka,lakini mnapolazimishana ndo shida!
eiyer,
hapo juu umesema waliahidiana, ila fundi akawa busy.......
Sasa kwa nini anaahidi ilhali hawezi itim iza?
Ndo maana nikasema labda jogoo hapandi mtungi, kuwa na mtoto sio issue labda alipata mtoto wakati jogoo halijagoma.......
Kama hana mpango na huyo dada amweleze atafute mpya wa kumpa utamu......
Last edited by a moderator: