Hivi kumbe wanawake nao wamo eeeh...!?

Hivi kumbe wanawake nao wamo eeeh...!?

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,914
Kiukweli nilikua sijawahi kusuhudia mwanamke akilazimisha ngono kama huyu.
"
Huyu dada alitongozwa na jamaa yangu ambae ni fundi wa viatu,huyu jamaa ana kazi nyingi sana,sasa huyu dada baada ya kumkubali huyu jamaa yangu wakawa wanaahidiana lakini jamaa anashindwa kutokea kwa sababu ya ubusy.
"
Mdada akawa anavumilia mpaka akawa anamfuata jamaa kazini na kumuuliza kama alikua anamtania alipomtongoza,jamaa akawa anajitetea kazi.Jana ilikua ni ahadi nyingine lakini jamaa hakutokea na dada kwa hasira alimtumia jamaa sms hii;
"
"KAA NA HIYO KITU YAKO WE SI UMEIONA MALI BWANA KM VP POA AU SIO.
"
Kisha baadae jamaa alimpigia simu dada huyo hakupokea baadae alituma sms iliyosema hivi;
"
"UKITAKA TUELEWANE NIPE HIYO KITU".
"
Nilijua ni wanaume tu,kumbe na wadada nao unaweza kugombana nao kwa kuwazungushaeeeeh.
"
Sikujua au ndo haki sawa?
"
What man can do,a woman can do!!!!!
 
Jamani sweetie usihofu kabisa wala sio mimi.
"
Inamaana umemsahau huyu fundi?Si yule aliye kutengenezea kiatu siku ile uliyokuja "gheto"?
"
Ngoja Kongosho aje na maneno yake hapa!Tusilaumiane kabisaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli nilikua sijawahi kusuhudia mwanamke akilazimisha ngono kama huyu.
"
Huyu dada alitongozwa na jamaa yangu ambae ni fundi wa viatu,huyu jamaa ana kazi nyingi sana,sasa huyu dada baada ya kumkubali huyu jamaa yangu wakawa wanaahidiana lakini jamaa anashindwa kutokea kwa sababu ya ubusy.
"
Mdada akawa anavumilia mpaka akawa anamfuata jamaa kazini na kumuuliza kama alikua anamtania alipomtongoza,jamaa akawa anajitetea kazi.Jana ilikua ni ahadi nyingine lakini jamaa hakutokea na dada kwa hasira alimtumia jamaa sms hii;
"
"KAA NA HIYO KITU YAKO WE SI UMEIONA MALI BWANA KM VP POA AU SIO.
"
Kisha baadae jamaa alimpigia simu dada huyo hakupokea baadae alituma sms iliyosema hivi;
"
"UKITAKA TUELEWANE NIPE HIYO KITU".
"
Nilijua ni wanaume tu,kumbe na wadada nao unaweza kugombana nao kwa kuwazungushaeeeeh.
"
Sikujua au ndo haki sawa?
"
What man can do,a woman can do!!!!!
Kama ni ww yamekupata mkuu pole, Nampa big up mdada huyo ni kamanda
 
KIDUDU ,siyo mimi bana kwani hujasoma vyema siredi?Kumbe mdada kuwa kama huyu ni ukamanda,nilikua sijui hiyo aisee!
"
Ila hiyo ID yako mh!
 
Last edited by a moderator:
Ukimtongoza dem na usikamilishe ni uhasama mkubwa! Mara nyingi utasikia dem akisema fulani ana dharau lakini ukimhoji sababu hawezi sema. Sababu ndo hiyo wakuu!
 
KIDUDU ,siyo mimi bana kwani hujasoma vyema siredi?Kumbe mdada kuwa kama huyu ni ukamanda,nilikua sijui hiyo aisee!
"
Ila hiyo ID yako mh!
mkuu id isikutishe, kawaida sana, ujue tu kuna wanawake majambazi hawaogopi kitu.
 
KIDUDU ,kwani mwanamke anapodai ngono anakua ni jambazi kiaje mkuu?
"
BADILI TABIA ,kwani nikikutongoza ni lazima nikugegede?Na hata kama ni kukugegeda kwani ni lazima iwe baada ya siku ngapi?
 
Last edited by a moderator:
KIDUDU ,kwani mwanamke anapodai ngono anakua ni jambazi kiaje mkuu?
"
BADILI TABIA ,kwani nikikutongoza ni lazima nikugegede?Na hata kama ni kukugegeda kwani ni lazima iwe baada ya siku ngapi?

nia ya kutongozana ni nini?
Nia ya kukutana chobingo ni nini?
Kugegedana hakuna siku maalum, hata kama ni siku hiyo hiyo mradi mmeridhia na mna mihemko....

Au fundi jogoo hapandi mtungi????
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA ,fundi jogoo anapanda mtungi kwa kuwa ana mtoto.
"
Ni kweli,lengo la kutongoza ni pamoja na migegedo,lakini kama ulivyosema hakuna muda maalum.
"
Hii ina maana hata siku hiyohiyo au hata baada ya mwaka mkitaka,lakini mnapolazimishana ndo shida!
 
Last edited by a moderator:
Jamani wana jamvi wenzangu, siku zote huwa nawauliza, "kati ya sikio na kile kipamba cha sikio, kipi huwa chapata utamu?".
 
Back
Top Bottom