kusud khan
Member
- Feb 18, 2017
- 75
- 27
comesucces,
Angalia huenda ikawa snatumia ARV.
Angalia huenda ikawa snatumia ARV.
Nimepata kitu mkuuNdo nimekwambia.Kawaida yetu wanaume ukishamgonga mwanadada huna mpango nae tena.Na inawauma sana wanawake.Sasa kwako zingatia yupo tu kahifadhiwa,hilo moja.Pili wanaume zaidi ya mmoja,na ujue hapo kila mmoja anamtaka tu.Sasa huenda anaona akijiachia ukamla kabla hajaanza maisha yake utamharibia,na upende usipende ukimgonga tu ndo chanzo cha matatizo. Kama umeamuwa kumdaidia we kubali uumie,wanaokukejeri acha wakukejeri,akipata uweza akapanga utapata tu.Af wa hivo ukipenda,komaa nae.Kama hawezi kujirahisisha kihivyo,usiangalie sura au uwezo mdogo kifedha. Ukitaka mengi ni PM
HahahahaHuyu huenda ana jinsia mbili anataka kuku-do wewe kwanza kabla ya wewe kumuwahi. Jaribu kumtegea kumpa tigo lako uone atafanyaje.
mbona yessu maisha yake yote ajagegedaUnalala nae siku hata tatu alafu Bila Bila?????
Dah wanaume wachache saana.
Kwani huyo jamaa Ni yesu?mbona yessu maisha yake yote ajagegeda
mbona yessu maisha yake yote ajagegeda
Sijasema hanisi ilo unasema wewe.Ebu tengua kauli yako.Unataka kutwambia alikuwa hanisi? Enzi hizo hakukuwa na madem?
Afuate matendo ya Yesu.Kwani huyo jamaa Ni yesu?
dada umenifanya mpaka nimekupenda ujue kwa kauli yako hii. huwa natamani kuwa na mwanamke kama wewe. MUngu akupe kulingana na mahitaji ya moyo wakoMchunguze vizur huenda anakuepusha na jambo zito san unajua sie wanawake tuna hurum san ila kuwa makin usije ukaja na kilio cha kuuliza hiz ni ARV kazi kwako