Hivi kumbe kuna wanawake wa hivi?

Hivi kumbe kuna wanawake wa hivi?

Umetisha kijana. Pole sana kwa kuwa wengi watakuona dhaifu, pia Hongera kwa kuwa Shujaa kwa kulala na dem 3days bila kufanya chochote.
Mdadisi kama anavyodai anakupenda anataka iweje kati yenu. Ila hata akikubali, usisahau Kupima afya zenu kabla.
 
Kuna mawili either hakuamini hata kidigo anahifia utakuwa na magonjwa but moyoni anakupenda au anakuepusha na tatizo alilonalo cha msingi kaa nae ongea nae then mwambie mkacheki afya zenu ili mbanjuke vzr ukiona anakataa kwenda angaza my Dia kimbia huyo mtu as soon as possible
 
Kulala na Demu ambaye sio ndugu yako bila kumkaza n Tatizo kubwa
Ukijifanya kidume anakuondokea kitanda anaenda kwenye sofa seblen sasa ukizingatia alikuja kwa ajiri ya kusaka life na amefikia kwako itaonekana kama unamfukuza
 
Wewe bado mtoto kama ni mtu unaejielewa huwezi mleta mwanamke ndani mko wanaume wa 2 mwanamke mmoja are mad bro
Sijamleta soma Uzi ila yupo hapa getho Mimi nimemhifadhi kama ilivyo kwa wengine hawa maboy sina roho ya kufukuza MTU huwa sijisikii kuona mwenzangu kabisa anapata shida zaidi yangu bora tubalance ndo ilivyo mpaka sasa Nina akili zangu za kumwaga tu
 
Jamani kwanza nianze na heri ya pasaka kwenu

Mimi ni Kijana machachari sana lakini ni MTU mmoja mwenye malengo makali sana na Mara nyingi huwa napenda kutoa ushauri kwa watu mbalimbali wenye matatizo ya kiuchumi lakini katika pitapita yangu nimewahi fanyia kampuni moja ivi ya ujasiriamali na huko tulikuwa tunakaa watu wengi sana na mchanganyiko Wa jinsia zote na kawaida yangu ilikuwa kulala na waschana siku zote ila sio kwa maana ya mapenzi laa Bali kama usingiz Wa kawaida kama ilivyo katika maeneo mengi ya watu mchanganyiko

Sasa kuna binti mmoja ivi tulijenga mazoea sana kwao KYELA huko ko muda Fulani ivi tukaamua kuachana na masuala ya kampuni na kufanya shughuli kila MTU yake sasa maisha yalivompiga akaamua kunipigia simu kuwa anataka Aje kuna sehemu amepata kazi kama ilivyo tabia yangu sinaga kwele nikamwambia Aje sasa baada ya kuja kazini kukabuma na tukaendeleza life kigetogeto tukiwa maboy watatu na girl mmoja lakini baada ya muda kadhaa nikaona majirani wanamwita WiFi sasa kidume kuona hata sijawahi kutembea naye japo usiku analalia upande wangu na tunakumbatiana vizuri mpaka asubuhi lakini hatufanyi chochote japo usiku huwa namshika sana hadi papuchi nagusiagusia kwa juu lakini hata sikumshawishi baadae majiran walikoleza kumwita WiFi ko nikajitosa nikamtongoza kakubali na inatokea muda mwingine tunasafiri siku tatu huko tunalala gest siku hadi tatu kitanda kimoja na kuendelea na michezo ya hapa na pale lakini ninachotaka mnisaidie ni kwamba huyu Dada hataki kunipa kabisa papuchi hadi namwonea huruma anavokatalia ivi tatizo nini analo na nikimtishia kumwacha anadhoofika sana anadai bado ananipenda sasa Mimi nifanyaje hataki kunipa kama mwezi ivi unakata kweli ana msimamo mkali tu???? Ivi wanawake njooo mtusaidie nini hasa huwa mnakuwa ivo muda mwingine

Mwenye mbinu mbadala naomba nimfanikishe huyu kiumbe maana ni mzuri hatae
mkuu nikweli unatuhakikishia ulishawahi kuishika papuchi yake? mana wako ambao wamezaliwa hako kadude kamesahaulika (hakuna kitobo)
 
Mchunguze kwanza pamoja na kupima anaweza akawa anakuepusha na mengi, endelea kumvumilia na kumuonyesha upendo zaidi
 
Mi nakusifu kwa hilo mkuu.Kama kweli umeweza we ni jasiri.Na wala usimlaumu huyo ana akili kupita kiasi. Sasa kuna kitu unatakiwa utambue.Umempokea tu ili umsaidie kutafuta maisha.Piga nae story,mbadilishane mawazo,laleni lakini tambua kitu kimoja.Mtu yeyote ukishamlala heshima haipo tena.Mkumbuke mwanamke uliyemvua nguo,na kwa sasa mnaishi vipi!Lazima unamdhalau na yeye anakuona huna lolote.Hivyo kama umrmchoka na umekosa namna ya kumfukuza mpitie. Kwa ujumla wanawake hao wanalinda heshima zao hasa kwa wale wanaowaheshimu.Kama umemmind subiri akipata geto lake utamgegeda. Lakini we mwenyewe ukithubutu akiwa bado hajajipanga utakua umekosea.Af jiulize,kama mnavyolala hivyo ukishamonja hutaogopa kumdunga sindano usiku na washikaji wakiwepo.Stop!!!!!!
 
Mkuu si kasema wanalala geto na ma men wengine washikaji kitanda kimoja ila huyo msichana ndo hulala upande wake hivyo aibuu kufanya.
Kwa hali hii kweli umasikini umetutawala Tz zaidi ya Mkoloni.

Jiongelee bwana.Wewe kama hujawahi kupatwa na hali ngumu waachie wenzio wanaojua.Hujawahi sikia msomi kaenda kufanya kazi za ndani? Au mwanamke akifikia hatua ya kuomba hifadhi kwa mwanaume, au mwanaume kuomba hifadhi kwa mwanamke,ujue ni tatizo tena kubwa.Hivyo watu kukaa zaidi ya mmoja siyo issue ya leo wala jana.Bora hao wanapata na hela ya kula.Wapo wengine sasa ni jobless
 
Huyu Dada nimewahi kumwonyesha na dushe langu lakini nikijari kupanda kunako anaweza akalala sebleni ungekuwa KARIBU ningekupa ujaribu afu ukiweza nakulipa labda umpe dawa za usingizi
Mpe dawa ya usingizi kama unavyofikiri halafu chunguza kama tundu lipo kweli.
 
Jamani kwanza nianze na heri ya pasaka kwenu

Mimi ni Kijana machachari sana lakini ni MTU mmoja mwenye malengo makali sana na Mara nyingi huwa napenda kutoa ushauri kwa watu mbalimbali wenye matatizo ya kiuchumi lakini katika pitapita yangu nimewahi fanyia kampuni moja ivi ya ujasiriamali na huko tulikuwa tunakaa watu wengi sana na mchanganyiko Wa jinsia zote na kawaida yangu ilikuwa kulala na waschana siku zote ila sio kwa maana ya mapenzi laa Bali kama usingiz Wa kawaida kama ilivyo katika maeneo mengi ya watu mchanganyiko

Sasa kuna binti mmoja ivi tulijenga mazoea sana kwao KYELA huko ko muda Fulani ivi tukaamua kuachana na masuala ya kampuni na kufanya shughuli kila MTU yake sasa maisha yalivompiga akaamua kunipigia simu kuwa anataka Aje kuna sehemu amepata kazi kama ilivyo tabia yangu sinaga kwele nikamwambia Aje sasa baada ya kuja kazini kukabuma na tukaendeleza life kigetogeto tukiwa maboy watatu na girl mmoja lakini baada ya muda kadhaa nikaona majirani wanamwita WiFi sasa kidume kuona hata sijawahi kutembea naye japo usiku analalia upande wangu na tunakumbatiana vizuri mpaka asubuhi lakini hatufanyi chochote japo usiku huwa namshika sana hadi papuchi nagusiagusia kwa juu lakini hata sikumshawishi baadae majiran walikoleza kumwita WiFi ko nikajitosa nikamtongoza kakubali na inatokea muda mwingine tunasafiri siku tatu huko tunalala gest siku hadi tatu kitanda kimoja na kuendelea na michezo ya hapa na pale lakini ninachotaka mnisaidie ni kwamba huyu Dada hataki kunipa kabisa papuchi hadi namwonea huruma anavokatalia ivi tatizo nini analo na nikimtishia kumwacha anadhoofika sana anadai bado ananipenda sasa Mimi nifanyaje hataki kunipa kama mwezi ivi unakata kweli ana msimamo mkali tu???? Ivi wanawake njooo mtusaidie nini hasa huwa mnakuwa ivo muda mwingine

Mwenye mbinu mbadala naomba nimfanikishe huyu kiumbe maana ni mzuri hatae
Storii yakutunga
 
Kaza at SKU pigs puchu mbere ake at uone Ka atakuacha uenderee na sabun at awez kha mwanamke at mkimbie at
 
ha ha ha.. yaani mie nimesoma nikageuza swali kuwa hivi kuna wanaume wa hivi? manake hapo sijui inawezekanaje wewe mwanaume japokuwa mmeshapima kila kitu mko salama na unampenda, unaweza kuangusha nae siku zote hizo bila bila.. shauri yako iko siku mwanaume mwenzio atamuonjesha kitu akikolea anahamia huko mazima sijui utakuwa unasemaje sasa...
 
Mi nakusifu kwa hilo mkuu.Kama kweli umeweza we ni jasiri.Na wala usimlaumu huyo ana akili kupita kiasi. Sasa kuna kitu unatakiwa utambue.Umempokea tu ili umsaidie kutafuta maisha.Piga nae story,mbadilishane mawazo,laleni lakini tambua kitu kimoja.Mtu yeyote ukishamlala heshima haipo tena.Mkumbuke mwanamke uliyemvua nguo,na kwa sasa mnaishi vipi!Lazima unamdhalau na yeye anakuona huna lolote.Hivyo kama umrmchoka na umekosa namna ya kumfukuza mpitie. Kwa ujumla wanawake hao wanalinda heshima zao hasa kwa wale wanaowaheshimu.Kama umemmind subiri akipata geto lake utamgegeda. Lakini we mwenyewe ukithubutu akiwa bado hajajipanga utakua umekosea.Af jiulize,kama mnavyolala hivyo ukishamonja hutaogopa kumdunga sindano usiku na washikaji wakiwepo.Stop!!!!!!
Hapa kidogo nimekuelewa salute kwako mkuu yaani nayo anakuwaga na hio sababu ya mpaka nipate chumba changu sa vipi pale tunapokuwa tuko mishe za mbali na tunalala gest
 
Ndo nimekwambia.Kawaida yetu wanaume ukishamgonga mwanadada huna mpango nae tena.Na inawauma sana wanawake.Sasa kwako zingatia yupo tu kahifadhiwa,hilo moja.Pili wanaume zaidi ya mmoja,na ujue hapo kila mmoja anamtaka tu.Sasa huenda anaona akijiachia ukamla kabla hajaanza maisha yake utamharibia,na upende usipende ukimgonga tu ndo chanzo cha matatizo. Kama umeamuwa kumdaidia we kubali uumie,wanaokukejeri acha wakukejeri,akipata uweza akapanga utapata tu.Af wa hivo ukipenda,komaa nae.Kama hawezi kujirahisisha kihivyo,usiangalie sura au uwezo mdogo kifedha. Ukitaka mengi ni PM
 
Back
Top Bottom