Hivi kumbe kuna wanawake wa hivi?

Hivi kumbe kuna wanawake wa hivi?

Yeye ndo ilikuwa sababu kuwa hatujapima tulivopima saivi tuko salama hana sababu ila anagomea tu bado
Basi utakua mpole sana!!! Yaani ulale na mwanamke mzima kabisaa mwezi mzima alafu unasema anakataa? Changanya mikono na lios hizo... Mlegeze
 
Yeye ndo ilikuwa sababu kuwa hatujapima tulivopima saivi tuko salama hana sababu ila anagomea tu bado

Huyo atakuwa hajawahi kufanya na Huenda ni mtu wa dini anataka ndoa kwanza siyo kuchezewa anahofu utamwacha.
Ndo mke mwema huyo broo bwana kakuletea mubashara, nenda kwa wazazi wake ukajitambulishe.
 
Basi utakua mpole sana!!! Yaani ulale na mwanamke mzima kabisaa mwezi mzima alafu unasema anakataa? Changanya mikono na lios hizo... Mlegeze

1.Huyu mwanaume mwenzetu atakuwa mgonjwa imposible aise...au itakuwa

2. Hii ni hadithi ya kutunga

3. Mwanaume wakweli kitanda kimoja asubuhi haifiki unless kunasababu isioelezeka tena very massive.

4. Binafsi siwezi hata kulala naye siku moja bila gem or else nitahamia kulala kwenye coach nimwachie kitanda....
 
Inafikia unagusa Papuchi unagusia gusia lakini hupewi na unalala nae kitanda kimoja bila kufanya kitu,Haya wakati umepewa Papuchi kugusia gusia umehisi ame keketwa au? reason nakuuliza niko na shogangu Mtu Sudan yeye alikua akipata mwanamme hakai na Mashallah mzuri sio wale wasudani weusi yeye mweupe basi akachwa na wanaume wanafika 7 sasa alipo mpata bwana mwengine ikabidi akatake kufanya nae chochote zaidi ya Kiss na hug akasema mpaka anione ndio atajua huko huko nikamuliza kwani tatizo nini mpaka unaaachwa mbona uko vizuri? ndio akanambia mimi nime keketwa ndio mana jamaa hawakai,sasa huenda huyo wako nae amekeketwa...
Niunganishe na huyo aliyekeketwa, mwenyewe ndio atanikimbia mimi, nawapenda sana wa design hio
 
1.Huyu mwanaume mwenzetu atakuwa mgonjwa imposible aise...au itakuwa

2. Hii ni hadithi ya kutunga

3. Mwanaume wakweli kitanda kimoja asubuhi haifiki unless kunasababu isioelezeka tena very massive.

4. Binafsi siwezi hata kulala naye siku moja bila gem or else nitahamia kulala kwenye coach nimwachie kitanda....
Mkuu si kasema wanalala geto na ma men wengine washikaji kitanda kimoja ila huyo msichana ndo hulala upande wake hivyo aibuu kufanya.
Kwa hali hii kweli umasikini umetutawala Tz zaidi ya Mkoloni.
 
U never know by Immortal technique
Tafuta hiyo nyimbo INA jibu LA swali Lako
 
Huyu Dada nimewahi kumwonyesha na dushe langu lakini nikijari kupanda kunako anaweza akalala sebleni ungekuwa KARIBU ningekupa ujaribu afu ukiweza nakulipa labda umpe dawa za usingizi
toa # za cm.[emoji2]
 
Wote naona mnashauriana umalaya tu na pasaka hii!
Maajabu zaidi hakuna hata moja aliyekumbia acha uzinzi subiri uoe kwanza!
 
Anakuonea huruma huyo. Run for your life broh.
 
Wewe bado mtoto kama ni mtu unaejielewa huwezi mleta mwanamke ndani mko wanaume wa 2 mwanamke mmoja are mad bro
 
Back
Top Bottom