Hivi kumbe kuna Laptop zinakaa lain ya Simu/SIM card?

mtafute mtaalamu kama ulivyoingiza ilitulia tuu haijaonyesha indication yoyote labda kua software au kuna sehemu unapaswa uactivate
cc Chief Mkwawa
atakusaidia
INafanya kazi kama zinavyofanyakazi modems
 
pakua application inaitwa Connection Manager itakusaidia kuditect lain yako ya simu..pia ikishindikana search for drivers ambazo hizo zitasaidia pia kuditect lain yako mana PC zetu nyng zinamiss some important drivers
 
nitajuaje hizo driver sasa wakati nikicheki naona kila driver ipo
 
Hata mm PC yangu hp elitebook 6930 inatumia niliiona tangu zaman nainunua lakin mpaka leo nimeshidwa kujua inafanyaje kazi. Watalaam wa haya mambo mnisaidie
Nasikia kuna drivers inabidi ziwekwe.. But sikufuatilia details zaidi nijue... Maybe mpaka ni Google
 
Nimeangalia chini y betri hamna nafasi y kuweka sim card ,ila nmeona kunasehemu mbele y laptop mapeandikwa MS,MS,PRO,MMC sijafahamu matumizi yake naomba kujuzwa wadau
 
Download bluestack itakuwezesha kuifany simu yako kua kama Android nakukuwezesha kudownload mpka app za call, whatsapp., massaging, app yoyote na kufany kazi kama Android
 
Download bluestack itakuwezesha kuifany simu yako kua kama Android nakukuwezesha kudownload mpka app za call, whatsapp., massaging, app yoyote na kufany kazi kama Android
si wanasema hiyo bluestack ina matatizo inafanya pc inakua nzito?
 
Nimeangalia chini y betri hamna nafasi y kuweka sim card ,ila nmeona kunasehemu mbele y laptop mapeandikwa MS,MS,PRO,MMC sijafahamu matumizi yake naomba kujuzwa wadau
jaribu ku google ukishindwa weka jina la pc yako hapa tuichambue
 
Back
Top Bottom