Hivi kumbe bashite tayari ni msamiati katika lugha?!

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,409
13,260
Nimeshangaa mwanafunzi nadhani darasa la 5 au 6 anamwambia mama mkaanga maandazi na vitumbua "naomba vibashite vitano" Nilipoulizia nikaambiwa ni vitumbua. Hata chapati na maandazi wanaita hivyo. Huenda Kihiyo sasa akapumzika
 
Back
Top Bottom