Hivi kula nguruwe ndiyo dhambi kuu?

Hivi kula nguruwe ndiyo dhambi kuu?

Tupo kwenye nchi huru kula unachokitaka alimradi humlazimishi mtu akile.

Mara nyingi wanaohangaika na makatazo kuhusu nguruwe huwa ni wanafiq maana dhambi zoote utakuta wanazikaribia lakini ikija ishu ya nguruwe wanajikuta watakatifu.
True
 
Habari za muda huu waungwana,

Nimekuwa nikiwaza sana juu ya suala hili la kula nguruwe (kitimoto) moja kati ya mambo yanayonitatiza ni kama:

Je nguruwe ndiyo mnyama pekee aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu au kuna wanyama wengine? Kama ndiyo mbona nguruwe ndiyo maarufu?

Je dhambi kama kuzini, kuua, kulawiti, kuroga nk. Ni dhambi ndogo kuliko kula nguruwe?

Kwa kumalizia,Je nchi ya Saud arabia ikiamua kuruhusu ulaji wa kitimoto kwa wageni kama ilivyoruhusu unywaji wa pombe inaweza kutengwa na nchi zingine za kiarabu? Kama jibu ni ndiyo je pombe ni halali na kitimoto ni haramu?

Kwa wafuasi wa mudi kitimoto ni dhambi ila ushoga na kutinduliwa mnya ni sunna,inasikitisha sana
 
Nadhani pia watu walikatazwa kula hivyo viumbe nilivyotaja hapo awali, lakini kwa mamlaka mwanadamu aliyopewa juu ya viumbe vyote na Mungu, wanaruhusiwa kuwatumia kwa manufaa yao. Hivyo wanaruhusiwa kuwafuga na kutumikisha mashambani, kwa ulinzi, majaribio ya kisayansi, nk.

Ila kuna madhehebu ambayo siyo tu hayataki kufuga nguruwe, bali hayataki hata kuwaona au kuwa eneo moja nao. Lakini wanadamu wanatumia nguruwe kwa mambo mengi, mfano kwenye sekta ya afya katika kufanya tafiti na kutatua changamoto za maradhi kama kansa, tafiti za organ transplants na mengineo.

Wana uwezo mkubwa wa kunusa kwa hiyo wanatumika sehemu mbali mbali kutafuta vitu kama madawa ya kulevya.
Nywele/vinyweleo vya nguruwe vinatengeneza paintbrushes nzuri sana ambazo huenda zilitumika na ma masters kama Da Vinci na Michelangelo.

Kwa haya, je tujiulize pia, hata tusipomla nguruwe, vipi kuhusu kufuga na kutumia kwa faida yetu kwa mamlaka tuliyopewa juu ya viumbe vyote?
 
Wavaa kobazi mbuzi k tumekula nao sana ila hawataki uwasemee Kwa watu wao wa karibu,dhambi kuu kwao ni kula mtaro lakini wanaongoza mademu wao Kwa kutoa kisamvu kilichosindikwa
Kuna mambo mengine mwanaume kuyasema ni ngumu sana. Labda na wewe huwa wanakukula hicho kisavu
 
Uhuni tu, yani uzini afu kitimoto ukatae?
Watu wa imani ni wanafiki sana🚮
 
Back
Top Bottom